IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

Jibu ni 16
Viafu ni 10
Mtu na filimbi ni 5 bila filimbi ni 3
Pair ya filimbi ni 4 nusu yake ni 2
Kwa hiyo
10+ 3x2= 16
 
Vile tunatafuta jibu la hesabu ya PipiMti
9096c4fb7a2e2088ac30ba6182131dbd.jpg
 
MIMI SIJASOMESHWA NIMEJISOMEA SOMEA HAPA NA PALE KWAAJILI YAKU ONDOA KIÙ CHA KNOWLEDGE!!
13X2= 26 13X1=13
Sheria ya magazijuto inafuata hivi vitu
Kama kuna mabano unaondoa kwanza
/ Kama kuna kugawa inafuata
X inafuata
+ inafuata
- Inafuata
 
Ivo ni vitu vinavyoonekana.. na unaviconsider
Kwani huyo refa haonekani? Ushawahi kuona refa anachezesha mechi peku? Elewa hili ni swali la hisabati na si la kupima magonjwa ya macho kwa kuweka kafilimbi kadogo shingoni ili watu wasione ilihali filimbi zingine ni kubwa na zinaonekana. Nikikwambia hiyo aliyovaa shingoni ni tai na sio filimbi utabisha?
 
Back
Top Bottom