IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

Aiseee!!! Sijawai kuona mbumbumbu kama wewe wewe unavituko kama vya madenge aliulizwa swali na mwalimu wake " masenge ukiwa na machungwa 10 rafiki yako akakunyanganya ma5 utabaki na mangapi akajibu nitapigana naye hadi niyapate" kama dukani uwezi kuuziwa kiatu kimoja mbona ujajishangaa wewe Kwa kuto kujumlisha na pea za viatu alizo vaa huyo refa ?? Au marefa awavaagi viatu bogasii kabisa wewe
 
Back
Top Bottom