IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

Hakuna kuzidisha pale, mbona ni aljebra hizo, acheni hesabu za std V unataka uzifanye kama za form 2.
Angalia vzr ile picha mkuu. Kuna alama ya kuzidisha kwa chini. Pia kuna watu waliovaa filimbi na mmoja wa chini hajavaa filimbi.
 
Kuna sehemu huwa mnanunua kiatu kimoja kimoja badala ya pair? Kwamba kwa kuwa sina 10, basi nipe tu kimoja kwa 5?

Filimbi X Filimbi =4 na 4 + 4 = 8 na ndio maana niliandika 2(Filimbi) ambayo ni sawa na 2(2).

Anyway, years ago niliona the same mjadala kwenye internet, ilikuwa PAIR OF SHOES, filimbi na NYAU. Hata wao jibu lao lilikuwa 16. Kwangu mimi hii ni logical case, sio hesabu peke yake.
Mkuu kwani wameandika vinauzwa katika Iyo picha?
 
ulichokosea; kwanza hapo kwenye filimbi zilikuwa mbili huku mwisho ikabaki moja tu kwahyo iyo nne gawanya kwa mbili utapata mbili

pia hapo mwisho n kuzidisha ww umejumlisha

ONGEZA UMAKINI
Asante Sana. Pamoja na hayo kuna watu pale juu wamevaa filimbi wajati mmoja wa chini hajavaa filimbi shingoni.
 
Back
Top Bottom