IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

Kwi kwi kwi lol!!!! Wala sioni aibu yoyote kutetea maslahi ya nchi yangu 24/7. Chezeya laana ya Mama wewe! Sasa Ulimwengu unakuchapa bakora unabaki kutumika kama ndom na maharamia wanaoingamiza Tanzania. Haya pita kwa maharamia wakakupe mgao wako wa leo kibaraka wao.

Shame on u
 
Usijipe mamlaka usiyokuwa nayo ya kuniamulia nini cha kupost hapa. Taahira mkubwa wewe unatoa kauli utadhani una miliki JF!!!! Dah! watu wengine kwa kujibaraguza bhanaaa!!!!

Mbona wewe unaamulia watu cha kupost kwani unafikili atujui au
 
Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, Ulimwengu sasa unakuchapa bakora unatumiwa kama ndom ili uwasaliti Watanzania wenzio na nchi yako. Mwenyewe hata huoni soni kwa unayoyafanya kwa ulafi mkubwa uliokuwa nao wa pesa. Baba humjui mama kakutelekeza ukalelewa vichochoroni uwezo wa kutafakari kwa kina SIFURI. Kamtafute mama yako labda atakusamehe na hiyo laana aliyokuachia ipungue.

Mkuu usaliti gani niliofanya kwa watz wenzangu?
Acha ujinga wa kutumika wewe kafulila kachachukua chake wewe unaumbuka tu humu
Asa mkuu wako anatumiwa na VIP then hao hao wameshindwa kesi na iptl inazidi kupepe hewani
So kama natetea ila hoja zao zina mashika na sio kama za kafulila ambazo zinalazimisha watu wakae upande wake
 
Wa kutetea maharamia wanaoingamiza Tanzania.

Ukweli ni huu hapa na umetamkwa hadharani na Edward Hosea labda naye hao wezi wamkatie mgao mkubwa aamue kupotezea kesi hii kama walivyopotezea EPA, Richmond, Meremeta, Kagoda n.k.

  • [The government has frozen an account in a bank in The Netherlands that is linked with the $65 million (approximately Sh129 million) that was controversially taken from an escrow account at the Bank of Tanzania and paid to a private entity last year.

  • The Citizen on Saturday established that billions of shillings were transferred from VIP's account to a bank in Holland. Tanzanian investigators managed to trace the account and worked with their counterparts overseas to freeze it pending further investigations.
  • Besides discovering that huge sums of money had been transferred from the account to several others at the same bank, the investigators raised the red flag over the millions of dollars transferred from the bank to an overseas account.
  • As the nation awaits the findings of the CAG and the PCCB, emerging reports have it that the investigations have established that some influential Tanzanians--including cabinet ministers, a permanent secretary and MPs--were paid substantial amounts of money from VIP's at Mkombozi.

  • An impeccable source told The Citizen on Saturday that the PCCB has established that taking the money from BoT was "outright theft" facilitated by corruption. Top officials in the BoT, the Attorney General's Chambers and the energy ministry appear to have been implicated.
  • "The CAG has concluded that the release of money from the escrow account was a grossly irregular move based on fraud," said the source.
  • The CAG has recommended that all the officials be charged in court and the money taken from the escrow account returned.

  • Dr Hosea is also ready to prosecute those who received the Rugemalila money from Mkombozi.
  • It is now official Development partners (DPs) have not released even a single dollar out of the $558 million (Sh937 billion), that had been pledged to boost Tanzania's 2014/15 Budget.
  • "Budget support development partners in Tanzania take the emerging IPTL case with the utmost seriousness and are carefully monitoring its development as the case involves large amounts of public funds," she said.
  • According to Ms Antila, in March 2014, firm commitments for budget support in the financial year 2014/15, worth $558 million, were communicated to the government with the caveat that releases would be informed by developments in relation to the IPTL case.
  • "Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.

Mkuu usaliti gani niliofanya kwa watz wenzangu?
Acha ujinga wa kutumika wewe kafulila kachachukua chake wewe unaumbuka tu humu
Asa mkuu wako anatumiwa na VIP then hao hao wameshindwa kesi na iptl inazidi kupepe hewani
So kama natetea ila hoja zao zina mashika na sio kama za kafulila ambazo zinalazimisha watu wakae upande wake

Mkuu usaliti gani niliofanya kwa watz wenzangu?
Acha ujinga wa kutumika wewe kafulila kachachukua chake wewe unaumbuka tu humu
Asa mkuu wako anatumiwa na VIP then hao hao wameshindwa kesi na iptl inazidi kupepe hewani
So kama natetea ila hoja zao zina mashika na sio kama za kafulila ambazo zinalazimisha watu wakae upande wake
 
Mnasikia nyie mataahira watetezi wa wezi wa bilioni 200. Jitihada zenu za kuchonga IDs chungu nzima kutwa kucha hazitasaidia kunyamazisha hili swala la wizi huu mkubwa.

Ukweli ni huu hapa na umetamkwa hadharani na Edward Hosea labda naye hao wezi wamkatie mgao mkubwa aamue kupotezea kesi hii kama walivyopotezea EPA, Richmond, Meremeta, Kagoda n.k.
  • The government has frozen an account in a bank in The Netherlands that is linked with the $65 million (approximately Sh129 million) that was controversially taken from an escrow account at the Bank of Tanzania and paid to a private entity last year.
  • The Citizen on Saturday established that billions of shillings were transferred from VIP's account to a bank in Holland. Tanzanian investigators managed to trace the account and worked with their counterparts overseas to freeze it pending further investigations.
  • Besides discovering that huge sums of money had been transferred from the account to several others at the same bank, the investigators raised the red flag over the millions of dollars transferred from the bank to an overseas account.
  • As the nation awaits the findings of the CAG and the PCCB, emerging reports have it that the investigations have established that some influential Tanzanians--including cabinet ministers, a permanent secretary and MPs--were paid substantial amounts of money from VIP's at Mkombozi.
  • An impeccable source told The Citizen on Saturday that the PCCB has established that taking the money from BoT was "outright theft" facilitated by corruption. Top officials in the BoT, the Attorney General's Chambers and the energy ministry appear to have been implicated. "The CAG has concluded that the release of money from the escrow account was a grossly irregular move based on fraud," said the source.
  • The CAG has recommended that all the officials be charged in court and the money taken from the escrow account returned.
  • Dr Hosea is also ready to prosecute those who received the Rugemalila money from Mkombozi.
  • It is now official Development partners (DPs) have not released even a single dollar out of the $558 million (Sh937 billion), that had been pledged to boost Tanzania's 2014/15 Budget.
  • "Budget support development partners in Tanzania take the emerging IPTL case with the utmost seriousness and are carefully monitoring its development as the case involves large amounts of public funds," she said.
  • According to Ms Antila, in March 2014, firm commitments for budget support in the financial year 2014/15, worth $558 million, were communicated to the government with the caveat that releases would be informed by developments in relation to the IPTL case.
  • "Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.

kwi kwi kwi kwi! umepanic mkuu

WENYE FIKRA TUSOME HII HABARI ALAFU MSEME KAMA INA MASHIKO!!
Yaani huyu muandishi anatufanya sisi mataira sijui, upuuzi gani sasa huu. Impeccable source? hata BAK anaweza kuwa impeccable source. Alafu tuache uhuni, Dr. Hossea hawezi zungumza huu upuuzi, hawezi zungumzia uchunguzi anao ufanya hata siku moja, huyu ni mtaalam anajua impact yake. MWenzetu unazungumzia CAG yupi?? CAg gani anayezungumzia kuhusu ripoti yake kabla hajakabidhi kwa aliyemtuma???
Hofu yangu mimi ni moja mkuu, mbona na wewe unakazana sana kupotosha umma. Umekoma sana unajua mkuu, nimekustukia mkuu, maana hyo habari duuu imelazimishwa sana. Haileti maana hata kidogo,
Alafu mkuu nilishakwambia, ngoja na leo nirudie huwezi kumpata Rugemarila hata kidogo kwenye hili sakata la kubambika. Unajifanya umesahau kabisa kuwa JR kauza shea zake 30%, umesahau kabisa kuhusu hukumu ya Jaji UTAMWA.
Acha upotoshaji mkuu, hii kitu unachangia kiushabiki, hujapata wala hutaki kupata maarifa juu ya hili sakata.
 
Kutokana na hukumu ya Mahakama Kuu, Kampuni ya PAP ilijadiliana na wadai halali wa mikopo ya IPTL na kuingia Mkataba wa kuwalipa wadai wote wa IPTL isipokuwa SCB-HK ambaye hakuwasilisha madai yake.
SCB-HK iliyokuwa ikiidai IPTL fedha ilizotumia kununua deni lililotokana na kufilisiwa kwa MECHMAR kule Malaysia (siyo Tanzania) haijawahi kujadiliana na IPTL kuhusu malipo ya mkopo wake kama upo. Mvutano huu unaendelea ICSID kati ya TANESCO na SCB –HK, ukiitaka TANESCO ilipe gharama za kununua umeme ikijumuisha deni la IPTL. Madai ya SCB –HK dhidi ya TANESCO yanatokana na madai ya kuwepo kwa deed of Assignment ya MECHMAR kuhusiana na Mkopo wa IPTL ambapo Mtambo wa IPTL uliwekwa kama dhamana ya mkopo. Hata hivyo deed of assignment hiyo haikuwahi kusajiliwa hapa nchini kama inavyotakiwa katika kifungu Na. 172 cha sheria za makampuni Cap. 212 zinavyoelekeza Kwa kutokusajili assignment deed hiyo, SCB –HK ilikosa sifa ya kufungua madai yake hapa nchini badala yake ilifungua madai haya ICSID nchini Uingereza kama ilivyoelezwa kwenye kifungu Na. 2.8.2 cha taarifa hii, kitu kinachoonyesha kudharau Mahakama zetu
TANESCO pia ilitoa hoja kwamba Mahakama ya Usuluhishi haina mamlaka ya kusikiliza mgogoro huo kwa vile SCB-HK haikuomba ruhusa ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuwasilisha shauri hilo kwenye Mahakama ya Usuluhishi kwa kuwa haikuandikisha mkopo huo hapa nchini kama inavyotakiwa katika kifungu Na. 172 cha Sheria ya Makampuni Cap 212. Pamoja na TANESCO kuweka pingamizi hili, wakili wake Mkono & Co Advocates hakuitetea hoja hii wakati wa kesi katika ICSID;
Wakati kesi ikiendelea ICSID Mahakama Kuu ya Tanzania iliiondoa kampuni ya IPTL katika ufilisi, TANESCO walimuomba wakili kuwasilisha taarifa ICSID ya IPTL kuondolewa katika ufilisi ili SCB –HK iondoe kesi hiyo mahakamani na kuwasilisha madai yake kwa IPTL, kampuni ambayo sasa ni hai (Solvent) kulingana na uamuzi wa Mahakama Kuu. Mawakili wa TANESCO Mkono & Co Advocates, hawakuwasilisha ombi hilo ICSID na kuifanya ICSID iendelee na kesi hiyo hadi ilipotoa uamuzi tarehe 12 Februari, 2014
ICSID katika uamuzi wake ilielekeza SCB – HK na TANESCO wakubaliane kuhusu namna ya kukokotoa tariff ndani ya muda wa miezi mitatu na kuwasilisha makubaliano yao ICSID. Mawakili wa TANESCO hawakuonesha dalili yoyote ya kutoridhishwa na uamuzi huo, badala yake walisisitiza kuishauri Serikali na TANESCO itekeleze maelekezo hayo ya ICSID huku wakijua kuwa SCB – HK na TANESCO hawana uhusiano wowote wa kimkataba
 
Kweli mtu mzima na fikra zako unaongea kwa kupoteza matumaini eti ona sasa wafadhiri wetunyima misaada!! hopeless kabisa wewe, rubish kabisa yaani umepandikizwa hizi fikra tegemezi mpaka zimekuingia kwenye ubongo wako. Yaani unaamini kabisa kuwa bila wazungu hatuna maisha. Dah! tumefika hapa kifikra kweli???
Basi ngoja nikutoe wasiwasi ndugu yangu, hakuna kitu kama hicho ripoti ya CAG itatoka na DONORS watacheka kwa kuona jinsi ambavyo tunambunge boya kama kafulila. Tatizo ni ucheleweshwaji tu wa utekelezaji wa bajeti uliosababishwa na kafulila. Mr. TUMBILI TUNATAKA ZILE NYARAKA 600 ULIZOSEMA UNAZO KUHUSU UFISADI WA ESCROW ACCOUNT.
 
Kwi kwi kwi lol!!!! Wala sioni aibu yoyote kutetea maslahi ya nchi yangu 24/7. Chezeya laana ya Mama wewe! Sasa Ulimwengu unakuchapa bakora unabaki kutumika kama ndom na maharamia wanaoingamiza Tanzania. Haya pita kwa maharamia wakakupe mgao wako wa leo kibaraka wao.

Yan wewe kaka karata ni mavi na kama vocha tigo lazima ukwanguliwe
 
Tumia akili kufikiri na si tumbo!

Subiri Kikao cha Bunge utapata majibu kupitia taarifa ya CAG badala ya kubwabwaja na hawa waandishi makangaja wa baadhi ya magazeti ambao kwa mtumbo kwanza kuliko kazi husika ya kutoa taarifa iliyochambuliwa/utafiti.

Kafulila inabi di afahamu kuwa sio kila mtu ni lazima awe na mawazo na maoni sawa juu yakitu Fulani, kupishana mawazo ndio uhai wa fikra huru, sio kila anayeteteauonevu dhidi ya kampuuni ya IPTL/PAP amejitoa ufahamu kama anavyodai kila mtuana haki ya kuamini na kuunga mkono kile anachokiamini ni sahihi, mimi ninaaminiIPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP.
 
Kweli mtu mzima na fikra zako unaongea kwa kupoteza matumaini eti ona sasa wafadhiri wetunyima misaada!! hopeless kabisa wewe, rubish kabisa yaani umepandikizwa hizi fikra tegemezi mpaka zimekuingia kwenye ubongo wako. Yaani unaamini kabisa kuwa bila wazungu hatuna maisha. Dah! tumefika hapa kifikra kweli???
Basi ngoja nikutoe wasiwasi ndugu yangu, hakuna kitu kama hicho ripoti ya CAG itatoka na DONORS watacheka kwa kuona jinsi ambavyo tunambunge boya kama kafulila. Tatizo ni ucheleweshwaji tu wa utekelezaji wa bajeti uliosababishwa na kafulila. Mr. TUMBILI TUNATAKA ZILE NYARAKA 600 ULIZOSEMA UNAZO KUHUSU UFISADI WA ESCROW ACCOUNT.

Kafulilainabidi afahamu kuwa sio kila mtu ni lazima awe na mawazo na maoni sawa juu yakitu Fulani, kupishana mawazo ndio uhai wa fikra huru, sio kila anayeteteauonevu dhidi ya kampuuni ya IPTL/PAP amejitoa ufahamu kama anavyodai kila mtuana haki ya kuamini na kuunga mkono kile anachokiamini ni sahihi, mimi ninaaminiIPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP.
 
attachment.php
 
Yanini kutumia lugha ngumu humu, tueleweshane kwa hoja tu.

attachment.php

Ni vyema basi watafiti wa masuala ya kisiasa, kiuchumi
namaendeleo ya jamii wakajielekeza kuchambua dhana ya
ushiriki wa wazawa kwa ubia na makampuni ya kimataifa
katika kuwekeza katika miradi mikubwa kadiri nchi yetu
inavyosonga mbele kujiletea maendeleo endelevu kuliko kukaa
kushupalia suala la IPTL/ESCROW.
 
Back
Top Bottom