optimus prime
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 401
- 287
pigo lingine kwa wafadhiri wa KAFULILA,
![]()
pigo lingine kwa wafadhiri wa KAFULILA,
yani siku hizi umekuwa kama shost wangu flani anapenda umbeambea tuHujitambui wewe mtoto wa vichochoroni kamtafute kwanza mama yako aliyekutelekeza na uachane na huu upumbavu wako wa kuisaliti nchi rudi vichochobi karikaoo ukauze unga paka mweusi kibaraka na masaliti mkubwa.
wachumia tumbo watazidi kuumbuka mwaka huu![]()
Ushindi mwingine kwa IPTL
Kumbe ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006, na VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa, Na kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya malaysia?sasa nadhani kitakuwa kimeeleweka kwa ufafanuzi huu,kazi kwenu sasa msioelewa.
KUNA UPOTOSHWAJI MKUBWA SANA UNAOFANYWA NA WANASIASA MCHWARA WANAOTUMWA NA WAPINZANI WA KIBIASHARA DHIDI YA IPTL/PAP,KUMESAMBAZWA MANENO YA CHUKI KWA WANANCHI DHIDI YA IPTL/PAP,WAMILIKI WAKE,NA SERIKALI KWA UJUMLA.KAZI HIYO INAFANYWA NA NDUGU DAVID KAFULILA KAMA KIONGOZI WAO,WAMEKUWA WAKIFANYA KAZI YA KUWAAMINISHA WATU UONGO KUPITIA VYOMBO VYA HABARI,BUNGE,MITANDAO YA KIJAMII N.K ILI KUWADHARIRISHA NA KUWAFEDHEHESHA VIONGOZI WA SERIKALI HASA VIONGOZI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI ILI WAONEKANE NI WATU WAOVU NA WANAOJIHUSISHA NA MAMBO YA KIFISADI NDANI YA WIZARA YAO,KITU AMBACHO SI KWELI.
KAFULILA anafahamu fika kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania?
Kati ya mleta mada hii,na kafulila ni nani anatumika?
Wewe huwezi kujiuliza ni kwa nini nchi wahisani wamegomea kutokea michango yao ambayo ilikuwa ikifikiwa kama bilioni 900,hadi pale serikali itakapotoa maelezo kuhusiana na sakata hili.
Na kwa hali halisi serikali imepata kigugumizi kulingana hali ilivyo tete na wahisani wanaelewa kwa undani kuliko mimi na wewe
si kweli kwamba escrow akaunti ilifunguliwa
kutokana na maombi ya tanesco kuhusiana na
mgogoro wa capacity charge, kesi ya tanesco
iliisha 2001, na akaunti ya escrow
ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,alisema.
Aliongeza; vip ndio waliomba kufunguliwa kwa
escrow, hivyo kusema kwamba tanesco na iptl
kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa
kukemewa,.
Makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa
ni ya mgogoro wa umiliki kati pap/iptl na
benki ya standard chartered ya hongkong
inayodai kununua deni la kampuni ya mechmar
ya malaysia.
kesi kati ya standard chartered na iptl/pap
haihusiani na tanesco na wawaache tanesco
watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu
wetu kwa watanzania na tutapambana
mahakamani,alisema makandege kwa kujiamini.
Hivyo, alisema wanaolalamika kwamba pap/iptl
imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda
waeleze kwamba standard chartered ni shirika
la umma.
kafulilaaaaaa
Mkatafute kick nyingine ziwabusti kisiasa mkome kujadiriIPTL/PAP, siyo mali ya umma hii ni kampuni binafsi. Mmeshindwa kuhoji mashirikayetu ya umma mengi yamekufa mengine yapo taabani mnakomaa na IPTL/PAP.Wanasiasa uchwara nyie. Rudini kwenye majimbo yenu mkawaongoze wapiga kulawenu.
KAMPUNI ya kufua umeme IPTL/PAP sasa imezidi kufahamika kuwa haina kesi au mgogoro wowote mahakamani baina yake na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), imefahamika.
Hali hiyo imekuja wakati kukiwepo na habari katika mitandao na baadhi ya vyombo vya habari(isipokuwa gazeti hili) kuwa IPTL/PAP haikustahili kulipwa malipo ya ESCROW kwa kuwa kuna kesi mahakamani.
Taarifa zaidi zinaeleza kesi hiyo inadaiwa imefunguliwa na TANESCO kuhusiana na ukubwa wa gharama za uendeshaji Capacity charge unaofanywa na Kampuni ya IPTL.
Hata hivyo, taarifa zaidi kuhusiana na suala hilo, zinasema kwamba kesi hiyo ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara ICSID iliagiza IPTL ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.
Taarifa zilisema baada ya kumalizika kwa kesi hiyo, ndipo kukazuka mgogoro mwingine wa kimaslahi baina ya waliokuwa wabia wa IPTL, ambao ni Kampuni ya VIP na Mechmar ya nchini Malaysia uliopelekea VIP kuomba kampuni ifilisiwe na isilipwe hata thumni na TANESCO.
Kutokana na maombi hayo ya kampuni ya VIP, Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme inayotumia.
Katibu na Mwanasheria wa Kampuni ya IPTL, PAP, Joseph Makandege alisema hawana kesi na TANESCO na anashangazwa na taarifa zinazotolewa.
Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,alisema.
Aliongeza; VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa,.
Makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya Malaysia.
Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa Watanzania na tutapambana mahakamani,alisema Makandege kwa kujiamini.
Hivyo, alisema wanaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.
CHANZO: Majira