IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

Kati ya mleta mada hii,na kafulila ni nani anatumika?

Wewe huwezi kujiuliza ni kwa nini nchi wahisani wamegomea kutokea michango yao ambayo ilikuwa ikifikiwa kama bilioni 900,hadi pale serikali itakapotoa maelezo kuhusiana na sakata hili.

Na kwa hali halisi serikali imepata kigugumizi kulingana hali ilivyo tete na wahisani wanaelewa kwa undani kuliko mimi na wewe

Kitendo cha kafulila kuzungumzia utendaji kazi wa kampuniya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP na kuikosea kampuni ya PAP/IPTL,Ninaamini IPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP either kwa ulafi walionao ama tamaa zao za fedha,kwamfano mtu kama kafulila anaonekana kabisa yupo kimaslahi ktk suala hili na ameishahongwa sh.3.1bilion ili alishikie bango na kulisema ndani ya bunge na ata bunge lijalo anataka aliletee hoja binafsi bungeni.
 
mkuu mbona kafulila kashapotea zaman
 
Msidanganye umma wahisani wanasubiri ripoti kujua kama Kuna ufisadi kwenye malipo ya escrow au la!,msiwalishe maneno wahisani ili kupotosha umma
 
Kitendo cha kafulila kuzungumzia utendaji kazi wa kampuniya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP na kuikosea kampuni ya PAP/IPTL,Ninaamini IPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP either kwa ulafi walionao ama tamaa zao za fedha,kwamfano mtu kama kafulila anaonekana kabisa yupo kimaslahi ktk suala hili na ameishahongwa sh.3.1bilion ili alishikie bango na kulisema ndani ya bunge na ata bunge lijalo anataka aliletee hoja binafsi bungeni.

Kweli mkuu hatuhitaji siasa uchwara
 
Tumia akili kufikiri na si tumbo!

Subiri Kikao cha Bunge utapata majibu kupitia taarifa ya CAG badala ya kubwabwaja na hawa waandishi makangaja wa baadhi ya magazeti ambao kwa mtumbo kwanza kuliko kazi husika ya kutoa taarifa iliyochambuliwa/utafiti.
Tanesco wawe na kesi vipi tena?.wakati kesi yenyewe ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara ICSID iliagiza IPTL ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.
 
kampuni ya kufua umeme iptl/pap sasa imezidi kufahamika kuwa haina kesi au mgogoro wowote mahakamani baina yake na shirika la umeme tanzania(tanesco), imefahamika.

hali hiyo imekuja wakati kukiwepo na habari katika mitandao na baadhi ya vyombo vya habari(isipokuwa gazeti hili) kuwa iptl/pap haikustahili kulipwa malipo ya escrow kwa kuwa kuna kesi mahakamani.
taarifa zaidi zinaeleza kesi hiyo inadaiwa imefunguliwa na tanesco kuhusiana na ukubwa wa gharama za uendeshaji ‘capacity charge' unaofanywa na kampuni ya iptl.

hata hivyo, taarifa zaidi kuhusiana na suala hilo, zinasema kwamba kesi hiyo ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara icsid iliagiza iptl ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.

taarifa zilisema baada ya kumalizika kwa kesi hiyo, ndipo kukazuka mgogoro mwingine wa kimaslahi baina ya waliokuwa wabia wa iptl, ambao ni kampuni ya vip na mechmar ya nchini malaysia uliopelekea vip kuomba kampuni ifilisiwe na isilipwe hata thumni na tanesco.

kutokana na maombi hayo ya kampuni ya vip, mahakama kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa na tanesco kwa ajili ya huduma ya umeme inayotumia.

katibu na mwanasheria wa kampuni ya iptl, pap, joseph makandege alisema hawana kesi na tanesco na anashangazwa na taarifa zinazotolewa.

"si kweli kwamba escrow akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya tanesco kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, kesi ya tanesco iliisha 2001, na akaunti ya escrow ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,''alisema.

aliongeza; "vip ndio waliomba kufunguliwa kwa escrow, hivyo kusema kwamba tanesco na iptl kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa,''.

makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati pap/iptl na benki ya standard chartered ya hongkong inayodai kununua deni la kampuni ya mechmar ya malaysia.

"kesi kati ya standard chartered na iptl/pap haihusiani na tanesco na wawaache tanesco watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa watanzania na tutapambana mahakamani,''alisema makandege kwa kujiamini.

hivyo, alisema wanaolalamika kwamba pap/iptl imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba standard chartered ni shirika la umma.

chanzo: majira
hakuna kesi hapo kinachofanyika ni majungu tu ya wafanyabiasha uchwara wakisaidiwa na wanasiasa uchwara kama kafulila.
 
naona kuna watu washapata ripot!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
du kweli bongo nomaa sana
 
Tumia akili kufikiri na si tumbo!

Subiri Kikao cha Bunge utapata majibu kupitia taarifa ya CAG badala ya kubwabwaja na hawa waandishi makangaja wa baadhi ya magazeti ambao kwa mtumbo kwanza kuliko kazi husika ya kutoa taarifa iliyochambuliwa/utafiti.

Mnaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa nyie ndio mnaofanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.
 
Mnaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa nyie ndio mnaofanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.

tanesco inakuaje wanakuwa na kesi na iptl?naomba kujuzwa wakuu.
 
Mnaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa nyie ndio mnaofanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.

Kuna watu wamelipwa na wanasiasa uchwara ili kuchafua taswira nzuri ya iptl
 
Huo ni uzushi unaosambazwa na wanasiasa uchwara,ripoti haijakamilika na haijatoka

Nilichokuja kugundua,siasa za upinzani kibongobongo ni kama vibweka..Mtu anatafuta umaarufu kwa lazima,hujafanya uchunguzi una conclude, haya ripoti kama mnayo si iwekwe humu,mbona hyo ni kazi rahs sana...Wanasiasa wanafiki kama hawa sio wa kuwaa dhamana kabisa
 
Hivi MODS wa jukwaa hili ndiyo nani vile!
Maana naona mwelekeo mbaya !

[h=4]19th October 2014
[/h]
  • 17:10 - Deleted Posts
  • 15:05 - Deleted Posts
  • 15:01 - Deleted Posts
  • 14:59 - Deleted Posts
  • 14:43 - Deleted Posts
  • 13:09 - Deleted Posts

Back
Top Bottom