mawazomgala
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 342
- 212
Toa hoja acha kufoka kama wanawake wa kona bar pimbi wewe.
asante mama lakini wewe umetoa hoja gani toka umeanza kupost shombo humu jf
Toa hoja acha kufoka kama wanawake wa kona bar pimbi wewe.
asante mama lakini wewe umetoa hoja gani toka umeanza kupost shombo humu jf
Huna mamlaka yoyote hapa hivyo kaa kimya. Tangu nianze kupost hapa miaka 7 iliyopita hata wamiliki wa JF hawajawahi kuniambi nini cha kupost au kutopost.
Wewe siyo bure utakuwa unakeketwa na chupa.
usipanic mkuu mbona hilo suala halihitaji kuzungumza kwa kutumia nguvu nyingi
Oya hayo mambo ndo tulikata humu jamvini tushasema atukaki matusi
Kama umeshindwa kwa hoja piga kimyaa atutaki mambo ya kijinga humu ndani watu tunataka tupate elimu ya ziada
Sasa mtu unamuelimisha yeye anatoa povu,anakuwa mbishi kama pilipiliOya hayo mambo ndo tulikata humu jamvini tushasema atukaki matusi
Kama umeshindwa kwa hoja piga kimyaa atutaki mambo ya kijinga humu ndani watu tunataka tupate elimu ya ziada
Ahaa kumbe unajua asa mbona wewe unalazimisha watu waunge mkono hoja zako
Oya hayo mambo ndo tulikata humu jamvini tushasema atukaki matusi
Kama umeshindwa kwa hoja piga kimyaa atutaki mambo ya kijinga humu ndani watu tunataka tupate elimu ya ziada
Hebu acha upumbavu wako wewe! Hebu onyesha post yangu niliyokulazimisha ukubali hoja zangu.
Wewe siyo bure utakuwa unakeketwa na chupa.
Hebu acha upumbavu wako wewe! Hebu onyesha post yangu niliyokulazimisha ukubali hoja zangu.
aibu hii, huna lugha nyingine zaidi ya matusi?, kweli Mod anakulinda vya kutosha, ndoa yenu na Mod idumuuuuu
aibu hii, huna lugha nyingine zaidi ya matusi?, kweli Mod anakulinda vya kutosha, ndoa yenu na Mod idumuuuuu
Naona fisadi mama Tibaijuka umeshaibuka na ID nyingine. Sina msongo wa mawazo hata chembe ila mkileta upumbavu wenu wa kuchonga IDs chungu nzima ili kuingia hapa kuvuruga mijadala muhimu kurusha matusi ya nguoni, kejeli na kashfa ili kupotosha ukweli kuhusu wizi huu mkubwa wa bilioni 200 ambao umewafanya Wafadhili kutoa shilingi Trilioni moja katika mwaka wa bajeti 2014/2015 lazima muambiwe kweli. Wote mnaopotosha wizi huu IDs zenu hazina hata miezi mitatu hapa kazi yenu ni kutetea wizi wa mafisadi huku nchi ikikosa maendeleo ya kweli. Mnaanza kurusha matusi halafu kibao kikigeuza kwenu mnaanza kulia kulia mxciuuuuu.
Naona fisadi mama Tibaijuka umeshaibuka na ID nyingine. Sina msongo wa mawazo hata chembe ila mkileta upumbavu wenu wa kuchonga IDs chungu nzima ili kuingia hapa kuvuruga mijadala muhimu kurusha matusi ya nguoni, kejeli na kashfa ili kupotosha ukweli kuhusu wizi huu mkubwa wa bilioni 200 ambao umewafanya Wafadhili kugoma kutoa shilingi Trilioni moja katika mwaka wa bajeti 2014/2015 lazima muambiwe kweli. Wote mnaopotosha wizi huu IDs zenu hazina hata miezi mitatu hapa kazi yenu ni kutetea wizi wa mafisadi huku nchi ikikosa maendeleo ya kweli. Mnaanza kurusha matusi halafu kibao kikigeuzwa kwenu mnaanza kulia kulia mxciuuuuu.
Na sijui hili pengo la trilioni moja litaathiri wapi?
Naona mkuu bak umerudi na jazima mi nakuomba upunguze jazba then tubishane kwa fact!!!!
Aya sasa niambie kunaufisadi gani waliofanya iptl mpaka mama tibaijua akaibuka na ids mpya?
Alafu nilikuwa nakuchukulia kama great thinker kumbe na wewe ni kiraza namna hiyo duu pole sana mkuu!!!
Yan kumbe inchi inategemea msaada kutoka kwa wahisan ?
kweli watz ndo tumefika mwisho wa ku creat our own things ila any way ndo tulivyo wabongo
Nakukumbusha mkuu amna mtuu anayetetea wizi ila tunaangalia hoja za kila upande ndomaana kila mtu anachagua upande wa kuegemea.
Kwa upande wangu naamin moja kwa moja mkuu kafulila anatumika vibaya na maboc zake walio nyimwa tenda na tanesco na ndoma maana anajaribu kuiweka hii issue kwa mtindo wa kiumma ili apate sapot ya umma ila ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba amna kesi hapo kafulila anatafuta kwa kufia tu
Kwanza nashangaa kwa nini yupo pake yake inamaana ata UKAWA wamempotezea au kuna kitu nyuma ya pazi
Mmmmmmmhhhhhhhh tuone lakin
Na sijui hili pengo la trilioni moja litaathiri wapi?
Do I care about your opinion whether I am a great thinker? No I don't....rudi shule kwanza ukajifunze namna ya kuandika. Katika lugha ya Kiswahili hakuna neno kiraza sijui ulitaka kuandika kihaya!? Unapoteza muda chungu nzima hapa kutetea wizi wenu wakati muda huu ungeweza kuutumia kujiendeleza ili kufahamu hata maneno ya msingi na jinsi yanavyoandikwa. Rais mtarajiwa 2014 mama fisadi Tibaijuka.