IPP punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Hivi Abdala Mwaipaya, Farhia Medley, na Hemed Kivuyo, wote Hawa Waislamu? Hao Ni kwa uchache tu!
 
Kwa bakresa mpaka watu wanabadili majina wanajiita Asha Abdala mansoor ndio unapata kazi huku mkuu hujapafanyia utafiti? au ulikua unauzunguka mbuyu?
 
LHRC nasikia hakuna muislam hata mmoja tanesco pia hakuna meneja hata wa kanda tuu muislamu hata mmoja
Nikikutajia Waislamu Wawili utafanyaje? Hao wapo LHRC!
Mtafute Hamis Mkindi, mtafute dada anaitwa Mish, mtafute mtu anaitwa Abuu! Sorry nimekutajia Watatu badala ya Wawili!
 
WE JAMAA MUONGO WEWE MIMI NILIFIKIRI UNASEMA IPP IMEWAPENDELEA WAISLAMU KUMBE UNASEMA KINYUME CHAKE? EMBU FUATILIA VIZURI ACHA LAWAMA ZA KIJINGA LABDA UNAONGELEA AZAM AMBAKO NDIO KUNA HIYO KITU
Kiukweli Ipp Waislam Ni wengi sana

Ila makampuni ya bskherasa ukimkuta kafiri ujue mwenye sifa upande wao amekosekana
 
Kwa bakresa mpaka watu wanabadili majina wanajiita Asha Abdala mansoor ndio unapata kazi huku mkuu hujapafanyia utafiti? au ulikua unauzunguka mbuyu?
Kweli kabisa mkuu
Pale kama unaitwa mwanaheri hauombwi hata cheti ila ukiitwa lupita nyongo unakwenda na maji
 
kuna kiwanda cha magodoro dodoma yan wameajiri islamic tupu,
 
Mimi sishangai kuona udini huku na ukabila kule hasa kwenye private sector,yan watu binafsi ni wadini sana ,
Kuna kampuni moja nlisha wah kufanya kazi nilikuta waislam tupu, nikauliza VP hapa kumbe mwenye kampuni ni muislam tena alhaj,
Miaka kadhaa baadae nikapata kazi kampuni nyingine kule nikakutana na wa kristo full mkoba plus ukabila(majina ya mwa.yale?).Nikajaribu kupeleleza nikajua kumbe mmliki ni mkristo tena msimamo mkali,
Sasa kutokana nahayo nimegundua makampuni au maofisi binafsi udini na ukabila ni vitu vya kawaida,tusikae tunalalamika hovyo tafuteni fursa mpambane na maisha
 
mkuu huo ndo ukweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…