byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,066
- 951
Najua wengi mnafahamu hizi kampuni zinazosimamiwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Dr. Mengi, hii kampuni kwa waislam na wasabato kupata kazi ni vigumu sana iwe hata kazi ndogo ndogo. Imefikia hatua hata ukipata kwa bahati mbaya kama ni binti wa kiislam haurusiwi kuvaa ushungi.
Kumbukeni vituo na magezeti yenu wateja wake ni wa dini zote
Kumbukeni vituo na magezeti yenu wateja wake ni wa dini zote