Ipo wapi ile album tuliyoahidiwa na Ali Kiba?

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
709
1,558
Mwanzoni mwa mwaka huu Kiba alifanya interview na akatutaarifu mashabiki kuwa haitafika mwezi wa Sita. Kabla hajatoa album. Lakin Sasa hivi tunaelekea July.

Mambo kimya. Nini kimemsibu mfalme huyu?
 
Back
Top Bottom