Ipo siku walimu wataamka

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Mar 4, 2023
130
263
Ipo siku walimu wataamka,
Ipo siku walimu watasimama,
Ipo siku walimu wataamua,
Ipo siku machozi yao yataisha,
Ipo siku walimu watapewa heshima wanayostahili,
IPO siku watatambulika kama Watu muhimu sana,
Ipo siku maslahi ya walimu yataboreshwa.

Ipo siku, ipo siku, ipo siku na waambia ipo siku.

Siku takapo chukua kijiti Cha urais wa CWT miaka 15 ijayo, kila kitu kwenye maisha ya walimu kitabadilika.
 
Shida ya walimu wa Tanzania ni pale wengi wao pamoja na viongozi wao wa juu walipo amua kujifungamanisha na uchawa kwa chama cha ccm na kuacha kupigania maslahi yao.

Na ccm ina tabia moja, huwa haiwajali machawa ila zaidi huwajali watu imara wenye misimamo ili wawalegezee kidogo.
Ni sawa na ibilisi hana tabia ya kuwajali chawa wake bali wale ambao hawapo upande wake.

CWT kwa hatua walio fikia ni sawa na uraibu wa dawa za kulevya maana serikali itafanya kila njia ili viongozi wa CWT daima wabaki machawa wao labda ije katiba mpya itakayo ruhusu free exercise of election process ili kuwaweka viongozi imara.

Piganieni katiba mpya
 
Ipo siku walimu wataamka,
Ipo siku walimu watasimama,
Ipo siku walimu wataamua,
Ipo siku machozi yao yataisha,
Ipo siku walimu watapewa heshima wanayostahili,
IPO siku watatambulika kama Watu muhimu sana,
Ipo siku maslahi ya walimu yataboreshwa.

Ipo siku, ipo siku, ipo siku na waambia ipo siku.

Siku takapo chukua kijiti Cha urais wa CWT miaka 15 ijayo, kila kitu kwenye maisha ya walimu kitabadilika.
Mkishaamka mtafanya nini? Walimu ni wanafiki sana, wananjaa kali sana na hawana umoja
 
Asilimia 98 ya walimu wote hapa Tanzania wametokea familia za kimasikini, hili ni kati ya makundi dhaifu ya watu wanao iogopa serikali kwa kuhofia kuikosa hiyo kazi ya kimasikini. Harakati za ukombozi haziwezi anzia kwa hawa watu waoga waoga, mimi naamini movement za ukweli zisizo na chembechembe ya uoga zitaanzia kwa hawa mnawaita jobless ila sio haya maalimu. Ila mabadiliko hua lazima yatokee hua ni swala la muda tu
 
Ipo siku walimu wataamka,
Ipo siku walimu watasimama,
Ipo siku walimu wataamua,
Ipo siku machozi yao yataisha,
Ipo siku walimu watapewa heshima wanayostahili,
IPO siku watatambulika kama Watu muhimu sana,
Ipo siku maslahi ya walimu yataboreshwa.

Ipo siku, ipo siku, ipo siku na waambia ipo siku.

Siku takapo chukua kijiti Cha urais wa CWT miaka 15 ijayo, kila kitu kwenye maisha ya walimu kitabadilika.
Hiyo siku haipo! Achana na hizi job za kusubiria uzee ukiwa masikini! Fanya chochote kwaakili!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom