MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
- Thread starter
- #21
Wewe ni lofa wa akiliNishaachana nao malofa hawa
Wewe ni lofa wa akiliNishaachana nao malofa hawa
Ndoto za mchanaIpo siku walimu wataamka,
Ipo siku walimu watasimama,
Ipo siku walimu wataamua,
Ipo siku machozi yao yataisha,
Ipo siku walimu watapewa heshima wanayostahili,
IPO siku watatambulika kama Watu muhimu sana,
Ipo siku maslahi ya walimu yataboreshwa.
Ipo siku, ipo siku, ipo siku na waambia ipo siku.
Siku takapo chukua kijiti Cha urais wa CWT miaka 15 ijayo, kila kitu kwenye maisha ya walimu kitabadilika.