Ipo siku tutangoza hawa Ai

Ipo siku tutangoza hawa Ai

Du! AI inapoteza kazi za watu. Hapa dawa ni kujihusisha na kazi za field mfano kilimo na ujenzi
Kaka, hakuna atakae baki salama
Tayari kuna mashamba yanakuja ya kujiendesha yenyewe
Yani mpaka trekta linajua likanyage wapi

Na kuna nyumba tayari zipo, ni za 3D , very cheap ukilinganisha na nyumba za tofali na fasta kuzijenga
 
Dah kwa kweli halafu Mtonyo unamtumia wapi mkuu
Scamming za hizi mbona zipo,
Na kuna case kibao huko YouTube
Hawa Ai mpaka video call wanafanya, na pesa unatuma PayPal, bila ya wewe kushtuka in Ai
 
Tengua kauli AI sio kila kuna mtu hata simu hana na anaishi poa tuu
Yupo sawa ila sio kwa Ai hii tunayotumia
Kuna kipindi watu watakuja kuabudia teknolojia
Hiyo ni baada ya Masiha kulichukua kanisa - sio mbali sana may be 10yrs
Hiyo inaitwa AGI - inauwezo zaidi ya Mwanadamu yeyote( kuna spirit nyuma yake)

Ni kama hadithi za wazimu, but one day mambo haya yatakuwa halisia
 
Yupo sawa ila sio kwa Ai hii tunayotumia
Kuna kipindi watu watakuja kuabudia teknolojia
Hiyo ni baada ya Masiha kulichukua kanisa - sio mbali sana may be 10yrs
Hiyo inaitwa AGI - inauwezo zaidi ya Mwanadamu yeyote( kuna spirit nyuma yake)

Ni kama hadithi za wazimu, but one day mambo haya yatakuwa halisia
Ndio itakuwa hivyo bila shaka
 
This video is 100 % AI
🤯
Veo 3

Source
Code:
https://www.reddit.com/r/aivideo/comments/1kwt2cv/the_internet_is_dead/
 
Mbona tumechelewa sana, coz Computer Broz wanalia
UI Designer wametoka kulia juzi hapo, Ai inaandika code yenyewe

Mark naye anampango wa kufukuza programmer wore , Ai ifanye kazi

Na kumbuka hii generation ya kwanza Ai , kuna AGI na ASI - bado zote ni moto - hazijatoka
Itafika muda hata binadamu itakuwa haina haja ya kuzaliana tena,,,
 
- Hili linafanyika sasa:

View: https://www.youtube.com/watch?v=8P9oSgrT35o
--

View: https://www.youtube.com/watch?v=GfvaZdm5mdE
---
View attachment 3353771
Mjadala uko hapa:
Code:
https://www.thestonetable.org/is-an-a-i-powered-church-really-a-church/

Kwa Ai kuongoza kanisa ni hapana coz scripture wanazozitoa ni za kishetani.
Kuna online church kibao zimeanza kutumia Ai , kuanzia mchungaji , voice , waumini hadi Jengo ni lakuundwa na Ai kwa hiyo ni video generated by Ai.(Nyingi ziko Tiktok) Kwa hiyo ukizisikiliza kwa makini, kama wewe ni msomaji mzuri was bible, ziko vice versa

Ai bado inaukakasi kwenye upande wa roho, na kuna mgogoro upo Musk anaulizwa kuhusu uwepo wa Darkness kwenye uundaji wa Ai
 
Back
Top Bottom