Ipo siku tutamkumbuka Rais Dkt. Magufuli tunayemdhihaki kila siku katika mitandao ya kijamii

Atakumbukwa kwa ukatili wake.
 
Utamkumbuka wewe siyo sisi,ok tumkumbuke kwa lipi??? Kuto kutuajiri???
 
Kwa nini mitandao ya kijamii imefungiwa?
Hata Mimi sijui..
lakini dunia ya Leo huwezi funga mitandao ya kijamii labda mtumiaji asiwe na maarifa na ujuzi juu ya technolojia za Sasa.

Au unlock mawasiliano ya simu kabisa. Ambapo nivigumu kufika huko, japo Napo utadhibiti wengi Bali sio wote
 
Atakumbukwa kama shujaa na Mzalendo wa kweli kuwahi kutokea TANZANIA. Na project alizozifanya zitadumu generation to generation.

Thank you FOR ALL President Magufuli and

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Tutakumbuka watu maovu mengi kwenye utawala wake kama:

1. Watu kutekwa
2. TRA na TAKUKURU kunyanyasa wafanyabiashara na raia
3. Uwanja wa Chato
4. Dotto James kuidhinisha pesa za walipa kodi bila kudhirikidha bunge
5. Makonda kujichukulia sheria mkononi na kuwapiga wafanyakazi wa kituo cha Clouds
6. Sheria mpya za takwimu. Mtoaji wa takwimu ni serikali peke yake vinginevyo upate ridhaa yake n.k.
 
Umenena vema
 

watu wanakumbuka mabaya kuliko mazuri atakumbukwa kwa kudidimiza demokrasia na vilevile watu kupotea na kupigwa risasi kwa Lissu. Mengine yanasahaulika Je tunakumbuka miaka 10 ya Mkapa alifanya nini?
 
Magufuli atakumbukwa kwa kuvunja umoja wa kitaifa kuliko rais yeyote aliyempita.

Kuna siku aliletewa kesi ya muhasibu kafanya ubadhirifu wa pesa za umma.

Akasema huyu ni Mchaga, nyie mlitegemea nini?

Hiyo ni kauli ya kutolewa na rais kweli?
 
Hakika tutamkumbuka, hizo siku za mbele intaneti ikicheza tutakimbilia VPN
 

Tutamkumbuka kwa kunajisi demokrasia yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…