Ipo siku CHADEMA watalazimisha kuingia kambi ya Jeshi au Ikulu

Chadema ni kama mtoto wa kambo, anayeamua kun.y.a kwenye meza ya sitting room ili aone reaction ya mama wa kambo. Akipigwa anaenda kusemelea nje, ooh wananitesa, akiachwa kesho yake anafanya upumbavu zaidi ya ule wa awali. Na siku zote mtoto wa kambo huamini kuwa ananyanyaswa.
 
apeo wako ko wewe unaamini kuwa chedemu walifanya fujo nikuambie chadema katika nchi hii ni yatima.ccm na poepole wao walienda makamera mpaka magereza tena kwa mbwe bwe kwani walipigwa zaidi kushangiliwa .acheni ubaguzi siamini mdee na bulaya wananguvu ya kufanya chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wapigwe wao tu!
 
Naona unalazimisha kupatiwa buku 7

In God we Trust
Wale wahanga wakiwa kwenye mazoezi kwenda kufanya fujo segerea!
74217306_2488207427929663_4361790347106320384_n.jpeg
 
Kwa tabia ya waliyojijengea Chadema ya kutaka kujifanya wanavunja sheria,halafu wanasubiri huruma ya wananchi.

Ipo siku wataladhimisha kuingia ikulu kwa nguvu kwa kuwa tu watakapodhibitiwa walie kuwa wanaonewa na demokrasia inaminywa ,vyama vya upinzani vinabanwa,
wasipodhibitiwa kama vile kule magereza.

Ipo siku watataka kuingia kambi ya jeshi kwenda kucheza ngoma,
tena kwa akili za wafuasi wao wanao ombea nchi ipate ugonjwa wa corona ili wapate mada za kuandika,
Chadema wanajua gerezani si sehemu ya kufanya mchezo wala kupiga picha za selfie ni sehemu yenye ulinzi mkali.

Tumeona kile walichokitafuta ndicho walichokipata, tuwape neno Chadema epukeni kuingilia na kuvuka mipaka na kutaka kuwapangia watu majukumu yao,
haswa haya majeshi.

Kuvunjika mkono sio mara ya kwanza hata mzee lipumba alivunjwa na dunia haikusimama shughuli ziliendelea mpaka leo.

Tuwapongeze jeshi la magereza kwa kufanya kazi zao kwa uweledi mkubwa!
Natamani iwe kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jiulize kwa akili yako kama ilikua Wenda kumtoa kwa nguvu kule benk walienda kufanyanini kuzipeleka zile pesa walizo changisha nguvu ya umma milioni 70 na risiti wakapewa wende kumtowe mbowe ww umtumzima ukiendelea kusikiliza uongo wa ccm hata babaako iko siku utamkataa utasema siyo baba ako umesahau kauli ya mambo sasa kifo cha akwilini mambo sasa alisema risasi ipigwa juu halafu ikapinda angani na kuingia ktk gari ikaenda kumua akwelina

Sent using Jamii Forums mobile app

Walivo ambiwa watawanyike kwanini walikaidi kutawanyika?

Hongera sana jeshi la magereza kwa kuwatawanya na kuwapa kichapo ili wasirudie tena
 
Kwa tabia ya waliyojijengea Chadema ya kutaka kujifanya wanavunja sheria,halafu wanasubiri huruma ya wananchi.

Ipo siku wataladhimisha kuingia ikulu kwa nguvu kwa kuwa tu watakapodhibitiwa walie kuwa wanaonewa na demokrasia inaminywa ,vyama vya upinzani vinabanwa,
wasipodhibitiwa kama vile kule magereza.

Ipo siku watataka kuingia kambi ya jeshi kwenda kucheza ngoma,
tena kwa akili za wafuasi wao wanao ombea nchi ipate ugonjwa wa corona ili wapate mada za kuandika,
Chadema wanajua gerezani si sehemu ya kufanya mchezo wala kupiga picha za selfie ni sehemu yenye ulinzi mkali.

Tumeona kile walichokitafuta ndicho walichokipata, tuwape neno Chadema epukeni kuingilia na kuvuka mipaka na kutaka kuwapangia watu majukumu yao,
haswa haya majeshi.

Kuvunjika mkono sio mara ya kwanza hata mzee lipumba alivunjwa na dunia haikusimama shughuli ziliendelea mpaka leo.

Tuwapongeze jeshi la magereza kwa kufanya kazi zao kwa uweledi mkubwa!
Hao hatua waliyofikia kwa sasa ya kuvamia magereza siyo ya kuwachekeachekea.Eti ooh ! kwanza ni wanawake ambao hawakuwa na silaha yoyote.Tunajuaje kama walikuwa wametangulizwa kama chambo.Lakini nina imani watapata haki yao ili liwe fundisho wasije wakavamia sehemu nyingine nyeti. Tunakereka kwa jinsi ambavyo Akwilina alivyouwawa chanzo kikiwa ni chadema lakini mahakama lazima tuiheshimu.Ila hili sasa la kuvamia magereza na kutaka kutorosha wafungwa liwe mwanzo na mwisho.
 
Lucas philipo,
Hii mifano yako yote ni ya kijuha haina mashiko ni mifano ya kishamba, Lugalo jwtz na magereza vina uhusiano gani? Acha ufala acha kuamini propaganda za CCM hakuna mwana chadema alienda Gerezani segerea na mapambio,

walikwenda kwa Aman na utulivu wa kawaida lakini kwa kuwa Asikari magereza walikuwa wametumwa kuwapiga ndipo wakawatengenezea huo uzushi na sasa wanawabambikia kesi ya kufanya fujo huko segerea wakati Asikari magereza ndiyo wamefanya fujo kwa kuwapiga wanawake viumbe Dhaifu wasio na silaha.

Ubabe wa kishamba na kijinga kupata kutokea Nchini, jiandaeni chadema watafungua kesi kuwashitaki magereza na waziri wa mambo ya ndani kule mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague
.
1584513514947.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao hatua waliyofikia kwa sasa ya kuvamia magereza siyo ya kuwachekeachekea.Eti ooh ! kwanza ni wanawake ambao hawakuwa na silaha yoyote.Tunajuaje kama walikuwa wametangulizwa kama chambo.Lakini nina imani watapata haki yao ili liwe fundisho wasije wakavamia sehemu nyingine nyeti. Tunakereka kwa jinsi ambavyo Akwilina alivyouwawa chanzo kikiwa ni chadema lakini mahakama lazima tuiheshimu.Ila hili sasa la kuvamia magereza na kutaka kutorosha wafungwa liwe mwanzo na mwisho.
Umenena kweli tupu isiyo na chembe ya urongo wa kumuonea mtu!
 
Back
Top Bottom