Ipo siku CHADEMA watalazimisha kuingia kambi ya Jeshi au Ikulu

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
13,945
15,732
Kwa tabia ya waliyojijengea Chadema ya kutaka kujifanya wanavunja sheria,halafu wanasubiri huruma ya wananchi.

Ipo siku wataladhimisha kuingia ikulu kwa nguvu kwa kuwa tu watakapodhibitiwa walie kuwa wanaonewa na demokrasia inaminywa ,vyama vya upinzani vinabanwa,
wasipodhibitiwa kama vile kule magereza.

Ipo siku watataka kuingia kambi ya jeshi kwenda kucheza ngoma,
tena kwa akili za wafuasi wao wanao ombea nchi ipate ugonjwa wa corona ili wapate mada za kuandika,
Chadema wanajua gerezani si sehemu ya kufanya mchezo wala kupiga picha za selfie ni sehemu yenye ulinzi mkali.

Tumeona kile walichokitafuta ndicho walichokipata, tuwape neno Chadema epukeni kuingilia na kuvuka mipaka na kutaka kuwapangia watu majukumu yao,
haswa haya majeshi.

Kuvunjika mkono sio mara ya kwanza hata mzee lipumba alivunjwa na dunia haikusimama shughuli ziliendelea mpaka leo.

Tuwapongeze jeshi la magereza kwa kufanya kazi zao kwa uweledi mkubwa!
 
kipara kipya, Kabisa, katika maisha ogopa sana umaskini wa kufikiri, ni hatari sana kwa mwanafunzi kwenda shule na kuiacha shule shuleni!!

Ni aibu kwa viongozi wakubwa tena wengine wakiwa wanasheria kuamua kuacha shule zao shuleni, Maeneo kama haya haiitaji hata elimu ya Sayansi kimu, gerezani siyo sehemu ya kwenda na mapambio, ni ukweli ambao hata wao wanajua ila wanajifanya viburi,

Naona wafuasi wao wanatukana eti wameonewa, hivi kweli unaweza kwenda pale Lugalo na kuanza kucheza mdundiko???? Nchi hii haiongozwi na katiba tu kuna AMRI pia zinaongoza nchi ukijifanya mwanaharakat nenda sehemu yoyote iliyoandikwa An order then violate utakiona cha mtema kuni

Tatizo siasa zinafunika hata uwezo wetu wa darasani, pole yao ila wajifunze huwezi ukabishana na wajeda waliolelewa kwenye kitu kinaitwa Order then ulete mwili wako utakiona tu cha moto!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jiulize kwa akili yako kama ilikua Wenda kumtoa kwa nguvu kule benk walienda kufanyanini kuzipeleka zile pesa walizo changisha nguvu ya umma milioni 70 na risiti wakapewa wende kumtowe mbowe ww umtumzima ukiendelea kusikiliza uongo wa ccm hata babaako iko siku utamkataa utasema siyo baba ako umesahau kauli ya mambo sasa kifo cha akwilini mambo sasa alisema risasi ipigwa juu halafu ikapinda angani na kuingia ktk gari ikaenda kumua akwelina

Huu hapa umati wa ccm wakimtoa Mashinji
 
Attachments

  • Subpost 1 - Uongo ni rahisi na una mwisho, na mwisho wa uongo ni mbaya sana, Ukw ( 368 X 640 ).mp4
    2.4 MB
kipara kipya,
Wewe mbweha acha ufala wako kuishi gheto kwa le mutuz umevuta Bangi na kukariri ujinga wa cyprian Musiba mpaka umekuwa mbumbumbu kilaza wa kutupwa, nani kakuambia chadema walifanya fujo gerezani segerea?

Hakuna fujo wala vurugu ilifanywa na chadema na wala chadema hawavunji sheria kusaka huruma ya watanzania kwani watanzania siyo wajinga kama wewe wanajua ukweli kuwa chadema inanyanyaswa na kuonewa na CCM yako, mifano yako ya Lipumba kuvunjwa mikono haina uhusiano na uonevu waliofanyiwa Mdee na Bulaya kwa visingizio vya kishamba na uongo,

CHADEMA hawavuki mipaka wala kuingilia chochote isipokuwa nyie CCM mmeamua kuwabambikia kesi kuwadhoofisha kuwahujumu kwa kila hali mkidhani Ulimwengu hauwaoni, hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu tupu, walikuwepo akina Iddy Amin Dada, Gadafi, Sadam Hussein, Bokasa, Abacha, mabutu, chiluba, Elibashir wapo wapi sasa?
 
Lisu anawadanganya sana. Eti ndio makamu mwenyekiti wao. Anawaambia wafanye fujo wapigwe na polisi halafu wampelekee video ili azisambaze kwa wazungu wake. Hao wazungu wenyewe akili zao zote zipo kwenye kujikinga na corona muda huu. Hawana muda na hivi vikaragosi kwa sasa. Imekula kwao. Watii sheria tu mambo yaende.
 
Lucas philipo,
Hii mifano yako yote ni ya kijuha haina mashiko ni mifano ya kishamba, Lugalo jwtz na magereza vina uhusiano gani? Acha ufala acha kuamini propaganda za CCM hakuna mwana chadema alienda Gerezani segerea na mapambio,

walikwenda kwa Aman na utulivu wa kawaida lakini kwa kuwa Asikari magereza walikuwa wametumwa kuwapiga ndipo wakawatengenezea huo uzushi na sasa wanawabambikia kesi ya kufanya fujo huko segerea wakati Asikari magereza ndiyo wamefanya fujo kwa kuwapiga wanawake viumbe Dhaifu wasio na silaha.

Ubabe wa kishamba na kijinga kupata kutokea Nchini, jiandaeni chadema watafungua kesi kuwashitaki magereza na waziri wa mambo ya ndani kule mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Lisu anawadanganya sana. Eti ndio makamu mwenyekiti wao. Anawaambia wafanye fujo wapigwe na polisi halafu wampelekee video ili azisambaze kwa wazungu wake. Hao wazungu wenyewe akili zao zote zipo kwenye kujikinga na corona muda huu. Hawana muda na hivi vikaragosi kwa sasa. Imekula kwao. Watii sheria tu mambo yaende.
Vikaragosi ni hao wajinga wanaodhani kupiga wapinzani itaongeza kupendwa zaidi ya kuzidi kujiongezea chuki toka kwa watanzania wenye Akili timamu, ni wajinga wachache watafurahia unyanyasaji huo, wazungu licha ya corona wapo wanautizama unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani kwa jicho la tatu mda si mrefu mtapewa dawa yenu.
 
Endeleal kujifanya kamanda huku umejificha nyuma ya keyboard.
 
Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali na sasa magereza wanaume wenye Bunduki wanawapiga wanawake viumbe Dhaifu wasio na siraha na kujiona na wababe? Ubabe huo wa kishamba utawaletea laana kubwa kwani Asikari wote walioshiriki kuwapiga watasomewa Alibadiri na pia watafunguliwa kesi kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague
 
Ona sasa ulivyokuwa limbukeni.
Wewe ndiyo limbukeni hujielewi, eti na wewe mvuta Bangi unategemewa na CCM humu mitandaoni? nyie vilaza ndiyo mnaiponza CCM kwa kuishauri ifanye mambo ya hovyo kulingana na akili zenu finyu za kibangi Bangi, ondoka CCM acha CCM izinduke iache Tabia mbovu zenu
 
Back
Top Bottom