Ipo shida uandikishaji kwa BVR

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
906
Wapendwa,

Nimekuwa natafakari huu mfumo wa BVR na athari zake kwa maana ya faida na hasara zake. Lakini nimekuwa najikuta narudi palepale. Hivi kuna uhakika gani kuwa katika utaratibu huu uandishi unakuwa haurudii? Ni nini kitamzuia wakala kuendelea kuandikisha nyumbani kwake usiku?

Nani anajua zinapolala zile?

Halafu hebu nikumbusheni, ni kwa nini vile tuliamua kutumia BVR wakati hata ulaya pamoja na teknolojia yao hawazitumii? Yaani sisi na teknolojia hafifu, BVR wakati ulaya na maujanja yao ya kiteknohama wanachaguana analogue!

Inawezakuwa ndiyo tuna akili zaidi au wana akili zaidi?
 
Mi nilishauliza hiz bvr zikimaliza kazi zinapelekwa wapi??lipumba alishalalamika sana kwamba kuna bvr ziko mipakani zinaandikisha watu wasio raia
 
Mi nilishauliza hiz bvr zikimaliza kazi zinapelekwa wapi??lipumba alishalalamika sana kwamba kuna bvr ziko mipakani zinaandikisha watu wasio raia


Nadhani hapo ndiyo kwenye bao la mkono!
 
Lakini kwa nini kuna watu wanazunguka na kurekodi nammba za shahada za watu za kupigia kura? Wanapeleka wapi hizo namba? Watazitumiaje?
 
Back
Top Bottom