Ipo Shida kwa SIMAI, Dr Mwinyi, Democracy inamipaka yake

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,237
4,051
Watu kama Adolf, JPM, Putin, Cuba na China huwa hawaamini katika democracy hasa linapokuja suala la kuongoza mamilioni.

Ni lazima only selected people the elite ndio wawe na sauti.

SIMAI , anakosa nidham mbele ya Rais, kitendo cha kujibu hotuba ya Rais Leo , ninajiuliza huyu alikuwaje waziri, vetting alifanyiwa vizuri kweli, ?

Alifundishwa miiko ya utumishi wa umma?

Something is wrong , really wrong kuanzia kwenye uteuzi wake hadi kuwa waziri.

Rais Dr Mwinyi, nashauri usimjibu bali mfanye mfano kimyamya.

kumbuka usia wa JPM
kwako.

alikuasa punguza upole. Kiongozi lazima awe mpole lakini pia awe dictator pale inapobidi otherwise huyu mzee atavuruga amani ya Zanzibar na atafanya mamlaka ya Rais Znz ionekane sio kitu, lazima ufanye mfano kama Putin ili asitokee mwingine mwenye sifa kama hizo.

Achukuliwe kadi yetu pendwa ya CCM

Achukuliwe passport yake

Akaunti Zake zichunguzwe na pesa ziwe freeze

Nyumba yake ifanyiwe inspection , usikute ana hela na anaficha ndani , huenda hata akawa anafuga magaidi

Asitoke nje ya Znz

Special force iundwe afuatiliwe kila anapoenda ijulikane na anaonana na nani, na kwa lengo gani

kuna kitu hakipo sawa Mh Rais
 
Kenge wa kijana hamna jipya mnamtishia kumtoa roho
 
Sio Kila mtu anasujudia madaraka, kama ameona madaraka yenu hayana maana mnamlazimisha kwanini? Hataki ukhanithi fullstop.
 
Watu kama Adolf, JPM, Putin, Cuba na China huwa hawaamini katika democracy hasa linapokuja suala la kuongoza mamilioni.

Ni lazima only selected people the elite ndio wawe na sauti.

SIMAI , anakosa nidham mbele ya Rais, kitendo cha kujibu hotuba ya Rais Leo , ninajiuliza huyu alikuwaje waziri, vetting alifanyiwa vizuri kweli, ?

Alifundishwa miiko ya utumishi wa umma?

Something is wrong , really wrong kuanzia kwenye uteuzi wake hadi kuwa waziri.

Rais Dr Mwinyi, nashauri usimjibu bali mfanye mfano kimyamya.

kumbuka usia wa JPM
kwako.

alikuasa punguza upole. Kiongozi lazima awe mpole lakini pia awe dictator pale inapobidi otherwise huyu mzee atavuruga amani ya Zanzibar na atafanya mamlaka ya Rais Znz ionekane sio kitu, lazima ufanye mfano kama Putin ili asitokee mwingine mwenye sifa kama hizo.

Achukuliwe kadi yetu pendwa ya CCM

Achukuliwe passport yake

Akaunti Zake zichunguzwe na pesa ziwe freeze

Nyumba yake ifanyiwe inspection , usikute ana hela na anaficha ndani , huenda hata akawa anafuga magaidi

Asitoke nje ya Znz

Special force iundwe afuatiliwe kila anapoenda ijulikane na anaonana na nani, na kwa lengo gani

kuna kitu hakipo sawa Mh Rais
Wewe ni nani unatishia watu? Kwani huyo Mwinyo unayemtetea aliwahi kushinda uchaguzi ZnZ? Wewe unafikiri hao Wa ZnZ hawamfahamu? Ni mwenyeji wa eneo gani ZnZ?
 
Mwinyi ni mzanzibar

Watu kama nyie ndio maana JPM aliwanyoosha sana

Democracy inamipaka
 
Back
Top Bottom