Ipo haja ya kuchunguza uraia wa baadhi ya wanasiasa

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Wapo baadhi ya Wanasiasa ambao kauli zao za Mara kwa Mara zinatilia Shaka sio tu Uzalendo wao Bali pia hata Uraia wao. Kauli zao sio rahisi zitolewe na Mtanzania mwenye mapenzi makubwa na Nchi yake.
Naomba kwa lengo tu la kukiridhisha Mamlaka husika angalau zipi tie pitie taarifa za Uraia wa Wafuatao:
1. John Heche
2. Zito Kabwe
Aksanteni
 
Kama Huyu Zitto hakuna haja ya kuchunguzwa Uraia

Ni kumchukua na kumtumbukiza kwenye MV Liemba Ziwa Tanganyika Na kumrudisha kwao Uvira Congo
 
Akaanteni
Mwenyewe kiswahili hujui, tunaanza na wewe
 
Kama Huyu Zitto hakuna haja ya kuchunguzwa Uraia

Ni kumchukua na kumtumbukiza kwenye MV Liemba Ziwa Tanganyika Na kumrudisha kwao Uvira Congo
Kwenye Liemba pia atawakoroga wanchongee chelezo ili aelee ziwani hadi Fizi.
 
Uko sahihi mkuu, lakini kuna mwingine hatuna haja ya kusubiri meli. Tunatime akienda likizo Chattle anapewa baiskeli arudi kwao maana hakuja na kitu.
 
Wadau
Wapo baadhi ya Wanasiasa ambao kauli zao za Mara kwa Mara zinatilia Shaka sio tu Uzalendo wao Bali pia hata Uraia wao. Kauli zao sio rahisi zitolewe na Mtanzania mwenye mapenzi makubwa na Nchi yake.
Naomba kwa lengo tu la kukiridhisha Mamlaka husika angalau zipi tie pitie taarifa za Uraia wa Wafuatao:
1. John Heche
2. Zito Kabwe
Akaanteni

Hoja zako nyepesi sana, kajipange
 
Anza kujichunguza we mwenyewe na utupe majibu kuanzia wazazi wako mpaka mababu halafu ndo urudi hapa
 
Wadau
Wapo baadhi ya Wanasiasa ambao kauli zao za Mara kwa Mara zinatilia Shaka sio tu Uzalendo wao Bali pia hata Uraia wao. Kauli zao sio rahisi zitolewe na Mtanzania mwenye mapenzi makubwa na Nchi yake.
Naomba kwa lengo tu la kukiridhisha Mamlaka husika angalau zipi tie pitie taarifa za Uraia wa Wafuatao:
1. John Heche
2. Zito Kabwe
Akaanteni

Duuh
Mtu akiwa na akili sana ndio sio Mtanzania?

Acheni upumbavu,yaani Watanzania hatuna utamaduni wa kua na wanasiasa smart na wenye akili kama Zitto na Heche,hatuamini mpaka tuwachunguze uraia wao?

Maajabu haya!
 
Back
Top Bottom