Habarini Wakuu na wajuzi wa mambo, mafundi wazoefu na wamiliki wa malori. Naomba kujua kati ya izo engine za mistubishi canter:
1.4D 33
2.4D 34
3.4D 35
Ipi ni bora kwa canter mayai ton 3.5 interms of cost of maintenance, service, running cost, fuel consumption, optimal performance, power, durabilty etc.
Naomba msaada nataka kureplace engine iliyokufa.