🤣Una uhakika hiyo picha ipo mirembe?
Mtu akipelekwa hospitali ya Milembe kwa mara ya kwanza, hasa akiwa na dalili za kuchanganyikiwa, hupelekwa kwenye chumba maalum. Ndani ya hicho chumba hakuna vitu vingi Ni ukimya tu na ukuta mmoja wenye picha hii. 👇
Picha yenyewe inaonekana ya ajabu kidogo… kama kitu kilichochorwa kwa namna isiyo ya kawaida kwa Vichaa ila mtu ambaye akili yake ipo sawa anaelewa hii picha vizuri bila wasi wasi.
Daktari au mhudumu humwambia mgonjwa: “Tuambie unaona nini hapa?”
Sasa hapo ndipo kipimo kinapoanza.
Kama mtu ana akili iliyotulia, anaweza kuitazama ile picha na kusema kitu kinachoeleweka Ataelezea kwa utulivu na kwa mantiki. Hapo madaktari wanapata dalili kwamba bado ana uwezo wa kufikiri vizuri, hata kama kuna tatizo kidogo.
Lakini kama mtu akiitazama ile picha na kushindwa kabisa kuelewa au akaanza kusema vitu visivyoeleweka, vinavyokosa mpangilio. hapo wanajua hali yake ni nzito zaidi. Wanaweza kumpeleka sehemu maalum ya uangalizi mkali zaidi.
Tuambie wewe unaionaje?View attachment 3563621
Wewe ukisema hivyo tu tayari kichaa wewe ingia chumba maalum ukaanze doziHapo kuna rangi mbalimbali - bluu bahari, njano, pink, brown n.k
Kichaa ni wewe ambaye umeshikiwa akili na mtoa mada kuamini kwamba eti ni kipimo cha vichaa.Wewe ukisema hivyo tu tayari kichaa wewe ingia chumba maalum ukaanze dozi
Sawa kichaa mtarajiwa naona umeamua kutoa jibu kuthibitisha ukichaa wakoKichaa ni wewe ambaye umeshikiwa akili na mtoa mada kuamini kwamba eti ni kipimo cha vichaa.
When you are sane and conscious you can feel it.
Hauhitaji mtu akupime.
Sawa kichaa mtarajiwa naona umeamua kutoa jibu kuthibitisha ukichaa wako
Really?Sawa kichaa mtarajiwa naona umeamua kutoa jibu kuthibitisha ukichaa wako
Dah mwanangu nimeanza kucheka mwenyewe sijui majibu kwa daktari yatakuaje...Mtu akipelekwa hospitali ya Milembe kwa mara ya kwanza, hasa akiwa na dalili za kuchanganyikiwa, hupelekwa kwenye chumba maalum. Ndani ya hicho chumba hakuna vitu vingi Ni ukimya tu na ukuta mmoja wenye picha hii. 👇
Picha yenyewe inaonekana ya ajabu kidogo… kama kitu kilichochorwa kwa namna isiyo ya kawaida kwa Vichaa ila mtu ambaye akili yake ipo sawa anaelewa hii picha vizuri bila wasi wasi.
Daktari au mhudumu humwambia mgonjwa: “Tuambie unaona nini hapa?”
Sasa hapo ndipo kipimo kinapoanza.
Kama mtu ana akili iliyotulia, anaweza kuitazama ile picha na kusema kitu kinachoeleweka Ataelezea kwa utulivu na kwa mantiki. Hapo madaktari wanapata dalili kwamba bado ana uwezo wa kufikiri vizuri, hata kama kuna tatizo kidogo.
Lakini kama mtu akiitazama ile picha na kushindwa kabisa kuelewa au akaanza kusema vitu visivyoeleweka, vinavyokosa mpangilio. hapo wanajua hali yake ni nzito zaidi. Wanaweza kumpeleka sehemu maalum ya uangalizi mkali zaidi.
Tuambie wewe unaionaje?View attachment 3563621
Authentication Code:Really?
Kichaa mtarajiwa!??
Kwanini iwe mimi na sio wewe?
Una mawazo ya ajabu sana Lol.😅
Wewe ni moja kwa moja unaanza kupigwa Sindano za kupunguza ukichaa baada ya kukipiga msasa wa vidonge kwa muda wanakuongezea picha hii hapa halafu unaulizwa unaona nini hapo?Dah mwanangu nimeanza kucheka mwenyewe sijui majibu kwa daktari yatakuaje...