Kahama- shy
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,971
- 2,737
Mtu akipelekwa hospitali ya Milembe kwa mara ya kwanza, hasa akiwa na dalili za kuchanganyikiwa, hupelekwa kwenye chumba maalum. Ndani ya hicho chumba hakuna vitu vingi Ni ukimya tu na ukuta mmoja wenye picha hii. 👇
Picha yenyewe inaonekana ya ajabu kidogo… kama kitu kilichochorwa kwa namna isiyo ya kawaida kwa Vichaa ila mtu ambaye akili yake ipo sawa anaelewa hii picha vizuri bila wasi wasi.
Daktari au mhudumu humwambia mgonjwa: “Tuambie unaona nini hapa?”
Sasa hapo ndipo kipimo kinapoanza.
Kama mtu ana akili iliyotulia, anaweza kuitazama ile picha na kusema kitu kinachoeleweka Ataelezea kwa utulivu na kwa mantiki. Hapo madaktari wanapata dalili kwamba bado ana uwezo wa kufikiri vizuri, hata kama kuna tatizo kidogo.
Lakini kama mtu akiitazama ile picha na kushindwa kabisa kuelewa au akaanza kusema vitu visivyoeleweka, vinavyokosa mpangilio. hapo wanajua hali yake ni nzito zaidi. Wanaweza kumpeleka sehemu maalum ya uangalizi mkali zaidi.
Tuambie wewe unaionaje?