Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 976
- 932
Habari za muda huu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ningependa kufahamishwa utofauti ktk hizo engineer na jinsi unavyoweza pata ajira either kwa kuajiriwa au kujiajiri
ok asante mkuuHizi kozi zimafanana kisasi chake lakin ni tofauti.
Software engineering wamebase upande wa software. From designing, implementation to final application ya software.
Huku utasoma jinsi ya kutenegeneza software za aina zote na ufanyaji kazi wake. Kuna vitu vingi sana.
Computer engineering . Hawa kazi ya kubwa ni ku intergrate software na hardware viweze kufanya kazi kwa pamoja ili kufanya kazi fulani.
In computer engineering wamebase zaid kwenye electronics circuits ,design , implementation, repairs. Cirvuit tunazungumiza hapa ni zilr hardware za copyuta.
Utasona pia software lakin kwa mbali sana. Hautaenda deep maana hiyo sio scope ya hii course.
Bahati mbaya computer engineers wengi wanaishia kutengeneza websites za wordpress...Hizi kozi zimafanana kisasi chake lakin ni tofauti.
Software engineering wamebase upande wa software. From designing, implementation to final application ya software.
Huku utasoma jinsi ya kutenegeneza software za aina zote na ufanyaji kazi wake. Kuna vitu vingi sana.
Computer engineering . Hawa kazi ya kubwa ni ku intergrate software na hardware viweze kufanya kazi kwa pamoja ili kufanya kazi fulani.
In computer engineering wamebase zaid kwenye electronics circuits ,design , implementation, repairs. Cirvuit tunazungumiza hapa ni zilr hardware za copyuta.
Utasona pia software lakin kwa mbali sana. Hautaenda deep maana hiyo sio scope ya hii course.
Tena hao ni wavivu. Unatumia word press kutengeneza website. Tengeneza website from scratch andika vode mwanzo mwisho.Bahati mbaya computer engineers wengi wanaishia kutengeneza websites za wordpress...
Haya maelezo yanajitoshelez kabisa kuonesha tofaut ya izo engineeringHizi kozi zimafanana kisasi chake lakin ni tofauti.
Software engineering wamebase upande wa software. From designing, implementation to final application ya software.
Huku utasoma jinsi ya kutenegeneza software za aina zote na ufanyaji kazi wake. Kuna vitu vingi sana.
Computer engineering . Hawa kazi ya kubwa ni ku intergrate software na hardware viweze kufanya kazi kwa pamoja ili kufanya kazi fulani.
In computer engineering wamebase zaid kwenye electronics circuits ,design , implementation, repairs. Cirvuit tunazungumiza hapa ni zilr hardware za copyuta.
Utasona pia software lakin kwa mbali sana. Hautaenda deep maana hiyo sio scope ya hii course.
In my opinion CE ndio iko bora maana anajifunza software na hardware vyote kwa ujumla... Tatizo mfumo wetu bongo CE wengi wanafanya kazi za mtu wa IT wa kawaida...Haya maelezo yanajitoshelez kabisa kuonesha tofaut ya izo engineering
Ila kuhusu ajira, Software engineering ni bora zaid.
Uko sahihi sana,hawa computer engineers husoma electronics, programming, network, automation and control systemHizi kozi zimafanana kisasi chake lakin ni tofauti.
Software engineering wamebase upande wa software. From designing, implementation to final application ya software.
Huku utasoma jinsi ya kutenegeneza software za aina zote na ufanyaji kazi wake. Kuna vitu vingi sana.
Computer engineering . Hawa kazi ya kubwa ni ku intergrate software na hardware viweze kufanya kazi kwa pamoja ili kufanya kazi fulani.
In computer engineering wamebase zaid kwenye electronics circuits ,design , implementation, repairs. Cirvuit tunazungumiza hapa ni zilr hardware za copyuta.
Utasona pia software lakin kwa mbali sana. Hautaenda deep maana hiyo sio scope ya hii course.
Mbona hawaji, nisaidie kuwaitaNgoja waje
Asante kwa taarifaComputer science ina deal na theoretical part of computer kufafanua vizuri ni
Computer ina hardware na software
Computer science inadeal na intersection ya hardware na software
Information technology ina deal na kutumia software za computer kwa matumizi mbalimbali kama kustore information,kutuma data,kumanage systems kama za networks na security etc
Information system ni kama branch ya information technology inayodeal na systems tu kama system security,networking etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna umuhimu mkubwa wa hesabu kwenye IT bila ya hivyo kuna vitu kama computer logics,algorathims analysis,data science vitakushindaKwanini ni lazima mtu awe amesoma hesabu kama kigezo cha kusomea IT
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa replyKuna umuhimu mkubwa wa hesabu kwenye IT bila ya hivyo kuna vitu kama computer logics,algorathims analysis,data science vitakushinda
Sent using Jamii Forums mobile app
After all, computer science and IT, kama utasoma chu, wa kwanza hakuna tofaut ya modules. Mwaka wa pili mnatofautiana, lakin not more than two modules eg, data structure, utaisoma sem ya kwanz kama utasoma, compt scienc.
Mwaka wa tatu sasa, kunatofauti, lakin utakayo soma kama compasory subject, as an IT, computer science anaoption nayo. Ingawa kuna compasory subject mtashare.
Inshort, there is no deffetence, as long as wat IT can do computer science can do too
Sent using Jamii Forums mobile app