kitaruo
Senior Member
- Aug 23, 2018
- 199
- 163
Sijui vyuo vinatofautiana, but kama utasoma degree, ndan ya kuna modules za biashara, mfano,IT, walikua wanasoma basic za account, laki. Sijui mtaala wa sasahiv ukoje.
Kwenye computer science kuna oparational research, inabusness ideas kwa ndan... hii module ni compasory. Hii ni mwaka wa tatu. Pia, kuna customer care, pia hii ni module ndan ya computer science, unaopt pia. IT wanalisoma pia. Siunaona!
Sent using Jamii Forums mobile app