Ipi tofauti kati ya Embassy na High commission?

bogosho

Senior Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
151
Reaction score
354
Kama heading inavyojieleza hapo juu ningependa kupata ufahamu juu ya tofauti kati ya Embassy na High commission.
 
Embassy vs. High Commission

An Embassy is a building where diplomats work or live in

Whereas

A High Commission is an embassy of one British Commonwealth country to another country.
 
Kwa uelewa wangu High commission ni ubalozi lakini kwa nchi za commonwealth zenyewe kwa zenyewe embassy inaitwa High commission [nafikiri unazijua]. Ndiyo maana London ubalozi wetu unaitwa high comission of Tanzania.

Embassy [ubalozi] ni makazi ya (officers) wa nchi fulani wanaoiwakilisha nchi yao katika nchi waliyopo.

Tofauti kubwa ni kwamba kwenye High comission kuna diplomatic functions nyingi kuzidi embassy kama inavyofahamika nchi za Jumuiya ya madola tunashiriki vingi. Wanaojua wataongezea.
 
I doubt kuwa Embassy ni makazi ni makazi ya ofisa ubalozi!

High commission ni office za ubalozi.

Makazi ya balozi huitwa let's say Kenya high commission residents, USA high commission residents nk

Nchi zote zilizowahi kutawaliwa na UK balozi zao zinaitana HIGH COMMISSION, mfano balozi hizi zilizopo hapa Tanzania ni high commission, South African high commission, Kenya, Malawi, Zambia Canada nk.

Embassies ni km Rwanda, Burundi, Denmark, Netherlands usa nk
 
Mbwembwe za mwingereza kwa aliowatawala
 

Yeah hapo nimechemka kuita makazi bila kuweka officers maana kuna foreigners wana makazi yao nchi za watu.

mengine tupo pamoja.
 
Asanteni kwa ufafanuzi, nadhani na mimi nimepata kitu!
 
Na United Nation High Commission for Refugees imekaaje?
 
Embassies are diplomatic missions sent to non-Commonwealth countries, while High Commissions are diplomatic missions sent to Commonwealth countries.

Mtoa mada jifunze kutumia google.
 
Na United Nation High Commission for Refugees imekaaje?
Language na maana zake zinaenda na context mkuu... hiyo commission kupewa mamlaka ya kufanya jambo.

Tanzania pia kuna commission nyingi... kamishna wa madini..kamishna wa TRA...

Hao wamepewa mamlaka na UN.
 
Embassy sigareti high commission whatever ni kamisheni ya juu sana. I stand to be corrected.
 
Embassies are diplomatic missions sent to non-Commonwealth countries, while High Commissions are diplomatic missions sent to Commonwealth countries.

Mtoa mada jifunze kutumia google.
Yes Sir.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…