Kwenye masuala ya diplomacy au masuala gani?kama heading inavojieleza apo juu ningependa kupata ufahamu tafadhali
I doubt kuwa Embassy ni makazi ni makazi ya ofisa ubalozi!Mtu kauliza swali mmeanza utani wa kinanii...
Kwa uelewa wangu High commission ni ubalozi lakini kwa nchi za commonwealth zenyewe kwa zenyewe [nafikiri unazijua]. Ndiyo maana London ubalozi wetu unaitwa high comission of Tanzania.
Embassy [ubalozi] ni makazi ya raia wa nchi fulani wanaoiwakilisha nchi yao katika nchi waliyopo.
Tofauti kubwa ni kwamba kwenye High comission kuna diplomatic functions nyingi kuzidi embassy kama inavyofahamika nchi za Jumuiya ya madola tunashiriki vingi. Wanaojua wataongezea.
I doubt kuwa Embassy ni makazi ni makazi ya ofisa ubalozi!
High commission ni office za ubalozi.
Makazi ya balozi huitwa let's say Kenya high commission residents, USA high commission residents nk
Nchi zote zilizowahi kutawaliwa na UK balozi zao zinaitana HIGH COMMISSION, mfano balozi hizi zilizopo hapa Tanzania ni high commission, South African high commission, Kenya, Malawi, Zambia Canada nk.
Embassies ni km Rwanda, Burundi, Denmark, Netherlands usa nk
Na United Nation High Commission for Refugees imekaaje?Mtu kauliza swali mmeanza utani wa kinanii...
Kwa uelewa wangu High commission ni ubalozi lakini kwa nchi za commonwealth zenyewe kwa zenyewe embassy inaitwa High commission [nafikiri unazijua]. Ndiyo maana London ubalozi wetu unaitwa high comission of Tanzania.
Embassy [ubalozi] ni makazi ya (officers) wa nchi fulani wanaoiwakilisha nchi yao katika nchi waliyopo.
Tofauti kubwa ni kwamba kwenye High comission kuna diplomatic functions nyingi kuzidi embassy kama inavyofahamika nchi za Jumuiya ya madola tunashiriki vingi. Wanaojua wataongezea.
Language na maana zake zinaenda na context mkuu... hiyo commission kupewa mamlaka ya kufanya jambo.Na United Nation High Commission for Refugees imekaaje?
Yes Sir.Embassies are diplomatic missions sent to non-Commonwealth countries, while High Commissions are diplomatic missions sent to Commonwealth countries.
Mtoa mada jifunze kutumia google.