Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,725
- 10,946
J7 pro ni ya mwaka 2017 wakati Galaxy S7 ni ya mwaka 2016. Ipi ni simu nzuri kati ya hizo in case of ubora na mengineyo yote.
Karibuni wakuu..
Karibuni wakuu..
Tumia njia nzuri kupata viewHizi ndo simu kali duniani.
S7 huwezi kujutia pesa yako,J7 pro ni ya mwaka 2017 wakati Galaxy S7 ni ya mwaka 2016. Ipi ni simu nzuri kati ya hizo in case of ubora na mengineyo yote.
Karibuni wakuu..
J7 atajutia pesa yake???S7 huwezi kujutia pesa yako,
Hivi huwa ina double line au single?S7 huwezi kujutia pesa yako,
Ndio s7 ya ya kawaida na s7 edge....zote kuna ya line mbili na line moja.Hivi huwa ina double line au single?
Mkuu hizo zote spec zake mara nyingi huwa ni zilezile....zinapishana maumbile tu hasa kwenye muundo wa kioo.!S7 edge ni habari nyingine, sijui kwa s7.