Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Ipi simu nzuri kati ya Xiaomi Note 8, Infinix 5 na Tecno 12 Pro. Au company ipi nzuri ya simu kati ya hizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipi simu nzuri kati ya xiaomi note 8,infinix 5 na tecno 12 pro. Au compony ipi nzur ya simu kati ya hzo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Huawei nayo ni? Kama xiaomi ni iphone..Xiaomi all the way....hiyo ndo iphone ya China! Ndo maana hata huku kwetu wachina wamechelewa sana kutuletea. Ni very high end smartphones!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaa kwa ushaur wako mkubwaaXiaomi all the way....hiyo ndo iphone ya China! Ndo maana hata huku kwetu wachina wamechelewa sana kutuletea. Ni very high end smartphones!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi xiamo na samsung???Mkuu acha kufananisha xiaomi na vitu vya hovyo aisee
hahahahahaha uzi ufungwe tu mkuu umemaliza kila kitusimu ni Xiaomi hapo, izo zingine ni camera zenye uwezo wa kukubali line
Ipi simu nzuri kati ya Xiaomi Note 8, Infinix 5 na Tecno 12 Pro. Au company ipi nzuri ya simu kati ya hizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila jamiiforums tunaingia wotesimu ni Xiaomi hapo, izo zingine ni camera zenye uwezo wa kukubali line