Guys naomba leo tuondoe utata kuhusu hizi show mbili ni show gan Kali kwa sasa Tanzania maana kila nikiwasikiliza wote wanapondeana.
Je, nani mkweli kwenu?
Chama la Wana Tanzania ni WCB peke yakeXXL ni bonge la show, nimejaribu kuchepuka wee, ila naamua kurudi tu kwenye chama la wana.