Ipi show kali ya mchana kati ya XXL,The Switch & Planet Bongo?

Ipi show kali ya mchana kati ya XXL,The Switch & Planet Bongo?

Neno Show Kali tu ndo limenileta mbio, nilichokikuta ndani ni utopolo tu!
 
Guys naomba leo tuondoe utata kuhusu hizi show mbili ni show gan Kali kwa sasa Tanzania maana kila nikiwasikiliza wote wanapondeana.

Je, nani mkweli kwenu?

Usifananishe Planet Bongo na vitu vya ajabu
 
XXL ni bonge la show, nimejaribu kuchepuka wee, ila naamua kurudi tu kwenye chama la wana.
 
Hahahaha ka mkubwa.
Askudanganye MTU
Binafsi yangu Show kali inabebwa na DJs wakali.
Show haiwez kuwa Kali kama DJs ni wabovu..
Na hakuna DJs wakali kama wa XXL na PB.



Kimya.
 
Back
Top Bottom