Ipi show kali ya mchana kati ya XXL,The Switch & Planet Bongo?

Neno Show Kali tu ndo limenileta mbio, nilichokikuta ndani ni utopolo tu!
 
Hahahaha ka mkubwa.
Askudanganye MTU
Binafsi yangu Show kali inabebwa na DJs wakali.
Show haiwez kuwa Kali kama DJs ni wabovu..
Na hakuna DJs wakali kama wa XXL na PB.



Kimya.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom