Ipi sentensi sahihi?

Inategemea na implicature katika discourse analysis
Example if inform is used as adverb or adjective.
Mpe jibu la lililo nyooka, na kumbuka kuna neno "was" hapo katika sentensi zake. Huo ufundi mwingine naona kama unazidi kumpoteza.
 
Ya kwanza ambayo informed ni adjective.
Inform ni verb. Past tense marker -ed haibadilishi word class kwa sababu ni inflectional morpheme. Hivyo informed inabaki kuwa verb ila kutoka present tense inform kwenda past tense informed.
Sentensi sahihi ni ya kwanza maana ina tense agreement na was (zote past tense). Tense mbili zinazokinzana kwenye sentensi ya 2 linguistically zinaitwa ill formed sentences.

Ndivyo ninavyoelewa.
 
'inform' ni verb na ndiyo subject kwenye hiyo sentence. I stand to be corrected
Subject ni ‘I’ na object ni ‘was not informed’.
Sentensi ina pattern ya SV.
Subject ikitokea upande huo baada ya tense ‘was’ labda iwe subject complement.
 
1.I was not informed.
2.I was not inform.
Ipi itakuwa sentesi sahihi hapo?
Ya kwanza ni sahihi.
"I was not informed" na siyo "I was not inform" hii ni broken English.Ukitaka kujua zaidi kajisomee Active and passive voice(kutenda na kutendewa).I am out.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…