😆Ulevi ni very subjective mkuu. Kuna watu huwezi kuwaona wakila nguruwe kabisa, ila effect ya soko utaiona mwezi mtukufu.
Mkuu mbona unaanza kuharibu uzi?Ulevi ni very subjective mkuu. Kuna watu huwezi kuwaona wakila nguruwe kabisa, ila effect ya soko utaiona mwezi mtukufu.
Kuna mtu ana historia yao. Kwa nini Watu wa kanda ya ziwa.. Hasa mkoa wa Mara ni wasabathoNgoja nijiridhishe kwanza na wakurya maana wengi ni wasabato.
Dah wamejiongezaNadhani dini yao hairuhusu unywaji, wakatoliki tunaruhusiwa kunywa ila tusilewe, sasa ukishaonja ni vigumu kuji control, unajikuta umelewa , waislamu hawaruhusiwi ila Qur an inasema peponi kuna mito ya pombe. Sasa waislamu wanajiongeza kama mbinguni ipo kwanini hapa tusinywe.
Afadhali nyagi inakata wese tumboni kuliko hayo masukari bandia yenye kusababisha magonjwa kibaokujizolea sifa haimaanishi kwamba ni wote ila ni wengi
huko mitandaoni waweza kutana na picha kama hizi mtu anakunywa soda wanatania ni msabato, caption inaweza kuandikwa "pale msabato anapoenda bar kuondoa stress"
View attachment 2369709
😂😂😂Afadhali nyagi inakata wese tumboni kuliko hayo masukari bandia yenye kusababisha magonjwa kibao
Usisingizie biblia haija ruhusu pombeNadhani dini yao hairuhusu unywaji, wakatoliki tunaruhusiwa kunywa ila tusilewe, sasa ukishaonja ni vigumu kuji control, unajikuta umelewa , waislamu hawaruhusiwi ila Qur an inasema peponi kuna mito ya pombe. Sasa waislamu wanajiongeza kama mbinguni ipo kwanini hapa tusinywe.
mkuu umesoma na kuielewa post??ukiwajua juujuu tu wasabato, unaweza dhani ni watakatifu sana, wana visa ya kuingia mbinguni moja kwa moja.
kaa nao kama wiki au mwezi, wanasengenyana hatari, hawapendani wao kwa wao halafu wanagombania vyeo kwenye makanisa yao utadhani wanasiasa.
nguvu kubwa wamewekeza ktk kuyakabili mafundisho ya kanisa katoliki. wanapandikizana hii sumu kutoka muumini mmoja mpaka mwingine.
Hahahahahaukiwajua juujuu tu wasabato, unaweza dhani ni watakatifu sana, wana visa ya kuingia mbinguni moja kwa moja.
kaa nao kama wiki au mwezi, wanasengenyana hatari, hawapendani wao kwa wao halafu wanagombania vyeo kwenye makanisa yao utadhani wanasiasa.
nguvu kubwa wamewekeza ktk kuyakabili mafundisho ya kanisa katoliki. wanapandikizana hii sumu kutoka muumini mmoja mpaka mwingine.
daah bongo sihamiNadhani dini yao hairuhusu unywaji, wakatoliki tunaruhusiwa kunywa ila tusilewe, sasa ukishaonja ni vigumu kuji control, unajikuta umelewa , waislamu hawaruhusiwi ila Qur an inasema peponi kuna mito ya pombe. Sasa waislamu wanajiongeza kama mbinguni ipo kwanini hapa tusinywe.
Kama ulimuona na soda, huyo sio msabato maana hata soda hawatumii, ikiwa pia na chaihuko mitandaoni ishakua kawaida kukutana na memes zikionyesha picha yenye mtu ananaekunywa maji mengi au soda kuwa ni msabato,
Hapana hapa umechanganya madesa.. Sex meditation haina chumamboga stylendio yale yale ya kuhalalisha uzinzi kwa sexual meditation