Bei yake ikoje? Na unazo strong srt4950 ?njoo nikuuzie
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Apo Mkuu kinachozungumziwa kupata receiver ambazo unaweza kupata channels bureeeee bila kulipia chochote kwa mfano mm nina kareceiver kangu aka Mediacom ft-490 naangalia ligi za EPL,laliga na bundersliga buree lakin natumia madishi Yale ya ft 6 mawili kwa iyo wale wanaoangaika na dstv na sisi tunapata kitu kilekile.Nimefuatilia comment zote sielewi kitu !!
Sent from my GT-I9200 using JamiiForums mobile app
Mkuu ulikuwa unapata EPL kupitia channel gani, kwani baada ya kuondoka sports 24 nikapata PTV nayo imetoweka. Sasa nang'aa macho tu sijapata pa kukimbilia.Apo Mkuu kinachozungumziwa kupata receiver ambazo unaweza kupata channels bureeeee bila kulipia chochote kwa mfano mm nina kareceiver kangu aka Mediacom ft-490 naangalia ligi za EPL,laliga na bundersliga buree lakin natumia madishi Yale ya ft 6 mawili kwa iyo wale wanaoangaika na dstv na sisi tunapata kitu kilekile.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Mtafute Mwl RTC humu humu yet ndo mwisho wa yote Nina appreciateHaya makitu wengine hatuyaelewi.....tupeni elimu basi wajuvi....Sisi kina DStv,ZUKU, AZAM wanatumaliza akili zetu hatujui pa kukimbilia .Kila kukicha wanatuletea ma channel yao yasiyo na vichwa wala miguu.Hebu tupeni ujuzi basi wa kwenda anga za juu zaidi.
Iyo PTV sport toka itoweke ni muda gan coz mm mpaka wiki iliyopita nimeiona.Mkuu ulikuwa unapata EPL kupitia channel gani, kwani baada ya kuondoka sports 24 nikapata PTV nayo imetoweka. Sasa nang'aa macho tu sijapata pa kukimbilia.
Aisee mlete mwl RTC atusaidie... ptv sports imepotea.. Mimi uefa wamarekani wa AFN walikuwa wanaonesha west side HD ya kufa mtu. Sijui kama wataonesha wakati huu. Hope Sony nao watatupa laliga.. epl ndio kizungumkuti.. japo tv1 wataonesha zile za kwese ila ni za kuotea sanaMtafute Mwl RTC humu humu yet ndo mwisho wa yote Nina appreciate![]()
Sent from my Fero_X1 using JamiiForums mobile app
Mussa Telecom kariakoo ndio alikua agent wao mkuu wa strong hapa TanzaniaWadau hizo strong srt4922 nazipata sehemu gani dsm?
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app


