Ipi receiver nzuri ya Powervu kwa sasa?

Ipi receiver nzuri ya Powervu kwa sasa?

chayowa

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
413
Reaction score
112
Habari wakuu wa nyumba. Mimi ni mpenzi na mtumiaji wa free to air channels kwenye madishi makubwa. Kwasasa natumia tiger T245+ pro ambayo nataka kuupdate kupanda kidogo kwani hii nataka kuihamisha. Sasa naomba mawazo ni ipi receiver Bora na ya kisasa kwa sasa. Asante

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
hadi sasa strong4922 haijapata mpinzani

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Nawashukuru sana.. naenda kwa strong str4922

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
Hii strong str4922 si in autorol wakuu?

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
hapana

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye fta ni chanel gani inaonesha epl na ni mwelekeo gani

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Hii strong str4922 si in autorol wakuu?

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
Strong series ya 4950 yaani 4950H,4950M,na 4950E hizi zote zinakubali software ya AUTOROLL

ploudly ngosha
 
Haya makitu wengine hatuyaelewi.....tupeni elimu basi wajuvi....Sisi kina DStv,ZUKU, AZAM wanatumaliza akili zetu hatujui pa kukimbilia .Kila kukicha wanatuletea ma channel yao yasiyo na vichwa wala miguu.Hebu tupeni ujuzi basi wa kwenda anga za juu zaidi.
 
Suala jingine tutapataje epl msimu huu kama ptv sport wamehamia conax??
Jipange kustream au kutumia iptv box...

Ingawaje pia kwa bongo nadhani kuna kizungumkuti cha speed ndogo au inayoyumbayumba ya internet...
 
Back
Top Bottom