ipi nzuri zaidi!!!!!!!??

thanx a lot!! imetulia!!
 
Akinizidi au tukiwa sawa kiumri au nikimzidi mwaka kwangu sio tatizo....tatizo nisimzidi sana wala asinizidi sana
 
mbona wazuri wengi wanaonizidi umri akili yangu inaniambia respect your sis... so ni hilo tu pick ur destiny bana!
 
Uko poa princess wajina? Mimi na prefer anizidi kidogo umri 3-5 yrs akizidi sana unamuona kama baba au kaka mkubwa!
hahahahh!! mi mzima wajna!!! juc nakumic sana!!!
 
Mwanaume anaweza mzidi mwanamke umri,hata mara mbili ya umri wa mwanamke...
(m/mke 20...M/ume 40) na penzi linanoga.
tenah wanakuwa kama wote vjana!!!! hahaaaaaaaaaaaaaah!!!! kwel amapenz kizungu mkuti!!!!
 
Kimila, kitamaduni na kidini...katika mahusiano ya kimpanezi mwanaume anatakiwa amzidi mwanamke umri.

Kiukweli hapa ntahitaji ufafanuzi:

Dini ipi unayozungumzia hapa? Waweza tuwekea vifungu?
Ni mila ipi unayozungumzia hapa? Ya kiafrika? Kabila gani? Je za kizungu, kihindi et el? Mtoa mada kaulizia in general, labda kapata buzi la kijeremani utajuaje?

Naomba ufafanuzi ghafla kabla sijarejea mapangoni Tora Bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…