St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
twin unamuona huyu njiwa!!?? hebu pokea bas hlo rose!! khaaa yan nimekumic zaid yako twin!!chwit twin hujaonekana ck nyingi lol nimekumis kinomanoma umeniletea zawadi gani
khaaa shemeji!!!!!!! nimekumic!!!!!!!!Haya mambo ya umri naona kama ilikuwa njia ya wazee kupunguza competition toka kwa vijana,na ndio maana ikaonekana ni vyema mwanababa amzidi mwanamama kiumri.Lakini tukirudi kwenye ukweli umri si chochote katika mahusiano.Nasema hivi kwa kuwa ninauhakika wanamama watu wazima nao wanavutiwa kwa sana tu na vijana wadogo ila ndio wanaogopa jamii itawatazama vipi.Lakini katika maelewano na mapenzi hakuna tatizo lolote.Mimi binafsi nimeshaishi kinyumba na mwanamama aliyenizidi miaka minane na hakukuwa na tatizo lolote..
twin unamuona huyu njiwa!!?? hebu pokea bas hlo rose!! khaaa yan nimekumic zaid yako twin!!
thx wangu kwa kuwa nawe umeona kuwa umri ni minamba tu...jianaume linaweza kuwa kubwa(kama lile toto la aliyekuwa Waziri Mkuu enzi za Mwinyi, sijui linaitwa Wille) halafu upstairs lipo so inferior
Haya mambo ya umri naona kama ilikuwa njia ya wazee kupunguza competition toka kwa vijana,na ndio maana ikaonekana ni vyema mwanababa amzidi mwanamama kiumri.Lakini tukirudi kwenye ukweli umri si chochote katika mahusiano.Nasema hivi kwa kuwa ninauhakika wanamama watu wazima nao wanavutiwa kwa sana tu na vijana wadogo ila ndio wanaogopa jamii itawatazama vipi.Lakini katika maelewano na mapenzi hakuna tatizo lolote.Mimi binafsi nimeshaishi kinyumba na mwanamama aliyenizidi miaka minane na hakukuwa na tatizo lolote..
kumbe utumwa huwa mnajiamulia wenyewe kwani akiwa na umri mkubwa na akilingana na wewe kiwaunganishacho si mahaba?mh, me huwa namwona ka mdogo wangu vile. hata heshima huwa haipo sana. ila kama atakuwa kanizidi umri ntamuheshimu sana!
nini!!!!!!!!??????????mhhh..
asante mkuu!!kama swala ni mahaba mliyoyaamua wenyewe umri sio chochote hapo.
umeona enhee!!??In this generation, age ain't nothing but just a number. Mwanaume wa 60 yrs anajivutia jiko la 28 yrs and vise a versa mwanamke mzee naye anajitwalia SERENGETI BOY mchanga! And life goes on...........
mkuu kisia kwamba unampenda sana mwanamke lakini amekuzidi kwa miaka yazidi sita lakini lila ukimuona chini ya tumbo panastuka.usingizini hakulaliki yaani kila kitu kwako ni tabu kuhusu huyo mwanadada utabaki unahesabu miaka au utaupatia moyo kitu roho inataka.kumbuka mapenzi kizungumkuti.napenda msichana azidiwe 3 to 8 years it is perfect for me!
hee we huyo mkeo mzima??Dah nadhani mnjua wanawake wanawahi kuzeeka so kumzidi umri ndo mpango
hahahha!! kwel kabisa!! af ikia hv baadae wanakuwa sawa wakizeeka coz wanawake wanawah kuzeeka!!Mwanaume amzidi mwanamke angalau si zaidi ya miaka 10. Kwa sababu ikizidi zaidi itaonekana mmoja kuwa mtoto wa mwingine na kuleta vituko kwa jamii!!
Princess,hello
eti wadada na wakaka!! ipi ni nzuri zaidi!!?? kuwa na mchumba mnaelingana umri!??! au aliyekuzidi umri kwa wadada na uliyemzidi umri kwa wakaka!!??
:gossip::gossip::gossip: