Ipi njia nyepesi ya kutajirika?

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,206
Ni njia ipi nyepesi na ya uhakika kwa kijana aliyemaliza chuo kutajirika hapa hapa Tanzania. Angalizo: Njia halali kisheria tu.
 
Komaa ndugu,usiige maisha ya mtu live your life na mwisho ujiulize utawasaidiaje uwapendao i.e wazazi sio watakusaidiaje ? Unapoona hauombi misaada kwa wazazi na ndugu jua utajiri upo karibu
 
Anzisha TIBA MBADALA (Sanitarium Clinic) wengi wanaotembea njiani ni wagonjwa, your potential customers!
 
Back
Top Bottom