immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,584
Wakuu
Ipi ni vpn ipi nzuri kutumia kwenye PC ila iwe ya free nitakuwa na Iboost na bando
Ipi ni vpn ipi nzuri kutumia kwenye PC ila iwe ya free nitakuwa na Iboost na bando
Hii ni ya kulipiaTurbo VPN
Bure ila pia kuna version ya kulipiaHii ni ya kulipia
emu nielekeze vizuri hapo mkuuKivinjari cha Microsoft chenyewe tu kina VPN
Upande wangu, VPN free version ambayo ipo freshi kuliko zote nilizojaribu ni ProtonVpnPersonal Experience
Nilijaribu VPN zifuatazo (free version):
1. TurboVPN
2. Proton VPN
3. Warp 1.1.1.1
Mwanzoni zilifanya kazi vizuri, ila baadae zikaanza kuleta shida ya slow internet au muda mwingine nashindwa ku_browse kutokana na blocked connection.
Nikajaribu zingine kadhaa, nikaja kupata Urban VPN
Ndiyo ninayotumia sasa, ipo vizuri.