Ipi ni simu bora tecno p3 vs tecno n3

Ipi ni simu bora tecno p3 vs tecno n3

kwa bei za tecno N3 na P3 zote zipo sawa. kwa perfomance P3 ni dualcore ila wamesahau kuboresha betri hivyo huisha chargi haraka. N3 inadumu sana charge kuliko smartphone nyingi.
unapotaka kununua simu ya android mkuu angalia zaidi RAM NA ROM. na atleast iwe na android 4 kwa sasa.
mtu asikudanganye. karibu zote vifaa vya ndani yaani chipset yake watengenezaji ni wawili tu. mediatek na qualcomm.
usihadaiwe na gamba la nje samsung, htc, etc
hawa tecno wanatengeza simu za chipset zote mbili za mediatek na qualcomm.
ila mie nakushauri uangalia XTOUCH 405 kama bajeti yako ni ya P3 na N3,
X405_Xtouch | touch the world
 
Hiv hiz sim za Xtouch zinapatikana wap hapa Tz..?? Naitafuta sana X508, nipe na bei yake, kama unaifaham..

Thanx
 
Mchainizi kavamia adroid mbona kazi ipo..
 
Hiv hiz sim za Xtouch zinapatikana wap hapa Tz..?? Naitafuta sana X508, nipe na bei yake, kama unaifaham..
hizi za 5 inch series niliziona kwenye laki 2 na nusu. ila watu wanazivamia sana. zimeisha zote within a week, ngojea next week mzigo mwengine unakuja

phantom A+ bei yake inaenda ngapi wadau??
 
Wadau kuna hii, at&t ni smart phone ipo vizuri sana...PANTECH 709..tuijadili,just kupeana knowledge wazee
 
Sawa mkuu, kama hiyo x508 ni laki 2.5 bas X509 itakuwa cheap kidogo,
Ukiipata yoyote kat ya hizo nicheck (PM).. kwa sasa hasa hasa hiyo X509..
 
phantom A+ bei yake inaenda ngapi wadau??

A cha kudanganywa techno dsm posta inauzwa lakini 5 maeneo ya kariakoo inauzwa lakini 4.5 ila kwenye maduka ya jumla nadhani itakuwa lakini 3.7.....ni simu mmoja matata Nokia lumia Yangu bye byeeeeeee nimeamia android f7A+ matata
 
Wadau kuna hii, at&t ni smart phone ipo vizuri sana...PANTECH 709..tuijadili,just kupeana knowledge wazee

atnt ni mtandao wa marekani kaka ukiona simu ina label hiyo ujue mambo ya ku-unlock yanaanza
 
naona kuna mkakati maalum wa ku promote Tecno hapa JF. Ukweli unabaki kuwa ni simu feki kama zingine hata kama zinashika neti. ni vyema zingejadiliwa kwenye blogu ya full shangwe au Gospel kitaa

Ha ha ha ha ha
 
A cha kudanganywa techno dsm posta inauzwa lakini 5 maeneo ya kariakoo inauzwa lakini 4.5 ila kwenye maduka ya jumla nadhani itakuwa lakini 3.7.....ni simu mmoja matata Nokia lumia Yangu bye byeeeeeee nimeamia android f7A+ matata

Unatumia Lumia ngapi ngapi?
 
520 michosho tu

kaka acha kudanganya uma naquote sentesi yako

Hiyo cm bei yake ni lakini 4.5 hadi 5.mkuu Nina phantom yaani naenjoy sana hivi salsa hatuangalii jima la kampuni nilikiwa na Nokia lumia huduma ya mpesa na huduma za salio hazifanyi kazi na upuuzi mwongine.....sasa nemenumua tecno f7 ni simu nzuro sana.hasikudanganye mtu

ni dhahiri we umemezeshwa na hujui unaloongea

lumia 520 ndio simu pekee duniani ipo moja tu ambayo inauzwa chini ya laki 3 na inatumia processor ya s4 plus.

lumia 520 inatumia wp8 na si wp7.5 unaposema haina mpesa inamaanisha kuwa hujaitumia ila tu unaropoka kama kitu hukijui ni bora unyamaze na si kupotosha watu

na hata hizo lumia za zamani zisizo na mpesa salio zinaonesha hili linaonesha hujatumia kabisaa lumia ila umeamua tu kuponda.

hii screenshot ya ussd kwenye lumia za wp8
wp_ss_20121105_0008.png
 
hizi za 5 inch series niliziona kwenye laki 2 na nusu. ila watu wanazivamia sana. zimeisha zote within a week, ngojea next week mzigo mwengine unakuja
Thanx

Mkuu X1 ni bei gani?
 
njoo nkuuzieee phantom z kwa lake 5 na elfu 40 nmeitumia mwez 1 na nusu tu
 
Back
Top Bottom