Ipi ni kozi nzuri kati ya hizi

May 8, 2012
11
2
Habari zenu wadau?mm ni mwanaharakati mpya na nilisoma elimu yangu ya chuo miaka mitatu ya kozi ya it na badae post ya business administration ambayo ni jeneral!!sasa swali langu ni hivi kati ya masters ya marketing na corporate management zote zinazotolewa na mzumbe compus ya dar es salaam!!naomba kuwasilisha
 
du! kaka mpaka hapo ujapata kazi tu?elim ya kibongo tunazunguka! sasa kama umesoma post ya business administration na ni general it means marketing ipo ndan yake sasa hapo kuna kuuliza swali tena?
 
nilichokua namaanisha ni kwamba yani ni ipi kozi nzuri kati ya MSC Marketing na MBA corporate!!kazi sio issue mna mtu anasoma Computer science na anaenda fanya kazi za HR
 
Kwani huyo mtu anataka kusoma ili awe nani? Anasoma kwa malengo gani au ili awe na uwezo wa kufanya shughuli gani? Akijibu maswali haya ataamua asome kozi gani. lakini kama anawaza kuajiriwa lazima itakuwa ngumu sana yeye kuamua asome nini maana hawezi kujua kwa sasa atajiriwa wapi na nani. Dunia ina changamoto, acha kabisa yaani watu hawajui hata asome nini. kazi kwelikweli.
 
Inawezekana hakujui kweli ila cha msingi kila kozi ina maana yake na faida yake na kwa sasa sio unachokisomea sio unachokifanyia kazi!!sasa mfano ndo wewe ungechagua kozi gani kati ya MSc Marketing na MBA Corporate
na kwa nini??
 
Habari zenu wadau?mm ni mwanaharakati mpya na nilisoma elimu yangu ya chuo miaka mitatu ya kozi ya it na badae post ya business administration ambayo ni jeneral!!sasa swali langu ni hivi kati ya masters ya marketing na corporate management zote zinazotolewa na mzumbe compus ya dar es salaam!!naomba kuwasilisha[/QUOT

daa kweli ndugu umeshachanganyikiwa.......mpaka level hii hujui kitu cha kusoma......kwani wewe unataka kuwa nani
ushauli wangu.....
 
Ubora wa kozi unategemea na mahitaji yako kwa wakati huo. Ndio huwa tunawashauri kuwa kabla ya kwenda kufanya Masters yeyote, piga kazi kwanza ili uweze kujiona kuwa unataka kubobea wapi ndio uanze kujipanga na Masters na kozi nyingine za vyeti.
 
MBA in Corporate Management z good

Huyu jamaa anahitaji counseling huwezi ukawa na IT the Business knowldge usijue nini cha kufanya. Kama kweli IT ipo nahitaji kufungua duka kwenye mtandao na atanipa all business outlet.
 
Back
Top Bottom