CCM itampa milleage zaidiPia inahataridha Amani na usalama wa nchi yetu.
Swali ...je!
Atawajibishwa kama mwenzie?
Sehemu hii ndiyo imeharibu comment yako.... inafifisha juhudi za Mama kujenga Demokrasia nchini
zote ni hatari ila tofauti inakuja hyo kauli umetolewa mda gani nchi ipo katika situation gn pili wa wanao ipokea hiyo kauli ni wakina naniWanabodi habari!
Naenda kwenye mada yangu moja kwa moja!
NDUGAI yeye alitahadharisha umma au watawala juu ya madhara ya Serikali kukopa fedha toka taasisi mbalimbali Duniani.
Kwamba tukiendelea kwa spidi ile basi huenda nchi ikaja kuuzwa baada ya kushindwa kulipa,baada ya kujitumbukiza kwenye mlolongo wa mikopo bila tahadhali,huku tukifurahia mikopo hiyo kwa sasa!
Ilikuwa ni Angalizo zuri na lenye Point kabisaa.
Lakini kwa sababu ya siasa za ajabu za nchi hii....visasi,vinyongo na kukomoana.
Wale waliokuwa na chuki binafsi na Ndugai walifanya yao na hatimae Ndugai akaonekana mbaya wa Taifa.
Leo imekuwa zamu ya Tulia Akson mrithi wa kiti cha uspika wa bunge la JMT.
Kuna clip imetoka inayomuonyesha akiwahamasisha vijana wa UVCCM kwamba wale sahani moja ( sijui kwa namna ipi au mbinu zipi).
Kwamba wale wote wanaomsema vibaya Mama Samia Rais wa JMT.
Haijulikani ni wanaomsema vibaya Rais wa nchi ni wapi? na maneno yapi?
ndio mabaya na yapi ndio mazuri kwake.
Pia haijulikani yeye Tulia anawataka wale nao sahani moja kwa mtindo gani?
My Take:
Kama Ndugai aliwajibishwa na Rais kwa kulazimishwa kujiuzuLu Kwa kutoa tahadhari kwa nchi dhidi ya mikopo isiyo na muelekeo sahihi.
Je, Tulia ambae anahamasisha uvunjifu wa Amani baina ya watanzania.
Kwamba yeyote anayemkosoa Rais wa nchi,awe CCM au Upinzani.jambo linaloweza kusababisha uvunjifu wa Amani na umwagikaji damu.
Yeye atafanywa nini?
Ni ipi kauli hatarishi kati ya "Tutauzwa wote" na hii ya "kuleni nao sahani moja"
Huu ni mtihani mwingine kwa CCM pamoja na mwenyekiti wao,wajitafakari na kuchukua hatua stahiki kama ilivyokuwa kwa Ndugai.
Ili jamii iweze kuwaamini,vinginevyo tutaamini kulikuwa na mpango rasmi wa kundi ndani ya CCM lilipanga kumfurusha Ndugai na kumuweka Tulia kwa maslahi yao binafsi na kwa kuwaza uraisi wa 2025 zaidi.
Sauti ya mwanamke haina kishindoWanabodi habari!

Kwa viongozi ndumilakuwili wa nchi hii hakuna lolote atafaywa Tulituli. Na kwa Vila alianza na sifa na mapambio kwa Mama ndo kabisa!! Subiri Chawa wa mama waje watafsiri kauli ya Tulituli uone kama ina madhara au ndo imeimarisha demokrasia. Jana nimesikia aliposema "Nyooka naye" alimaanisha bishana naye kwa hoja.Wanabodi habari!
Naenda kwenye mada yangu moja kwa moja!
NDUGAI yeye alitahadharisha umma au watawala juu ya madhara ya Serikali kukopa fedha toka taasisi mbalimbali Duniani.
Kwamba tukiendelea kwa spidi ile basi huenda nchi ikaja kuuzwa baada ya kushindwa kulipa,baada ya kujitumbukiza kwenye mlolongo wa mikopo bila tahadhali,huku tukifurahia mikopo hiyo kwa sasa!
Ilikuwa ni Angalizo zuri na lenye Point kabisaa.
Lakini kwa sababu ya siasa za ajabu za nchi hii....visasi,vinyongo na kukomoana.
Wale waliokuwa na chuki binafsi na Ndugai walifanya yao na hatimae Ndugai akaonekana mbaya wa Taifa.
Leo imekuwa zamu ya Tulia Akson mrithi wa kiti cha uspika wa bunge la JMT.
Kuna clip imetoka inayomuonyesha akiwahamasisha vijana wa UVCCM kwamba wale sahani moja ( sijui kwa namna ipi au mbinu zipi).
Kwamba wale wote wanaomsema vibaya Mama Samia Rais wa JMT.
Haijulikani ni wanaomsema vibaya Rais wa nchi ni wapi? na maneno yapi?
ndio mabaya na yapi ndio mazuri kwake.
Pia haijulikani yeye Tulia anawataka wale nao sahani moja kwa mtindo gani?
My Take:
Kama Ndugai aliwajibishwa na Rais kwa kulazimishwa kujiuzuLu Kwa kutoa tahadhari kwa nchi dhidi ya mikopo isiyo na muelekeo sahihi.
Je, Tulia ambae anahamasisha uvunjifu wa Amani baina ya watanzania.
Kwamba yeyote anayemkosoa Rais wa nchi,awe CCM au Upinzani.jambo linaloweza kusababisha uvunjifu wa Amani na umwagikaji damu.
Yeye atafanywa nini?
Ni ipi kauli hatarishi kati ya "Tutauzwa wote" na hii ya "kuleni nao sahani moja"
Huu ni mtihani mwingine kwa CCM pamoja na mwenyekiti wao,wajitafakari na kuchukua hatua stahiki kama ilivyokuwa kwa Ndugai.
Ili jamii iweze kuwaamini,vinginevyo tutaamini kulikuwa na mpango rasmi wa kundi ndani ya CCM lilipanga kumfurusha Ndugai na kumuweka Tulia kwa maslahi yao binafsi na kwa kuwaza uraisi wa 2025 zaidi.
Kwa hiyo umejipa haki ya kujudge nani katoa point na yupi ni pumbastic?Sehemu hii ndiyo imeharibu comment yako.
Uko sahihi,sababu naye ni sehemu ya inner cicle!Kwa viongozi ndumilakuwili wa nchi hii hakuna lolote atafaywa Tulituli. Na kwa Vila alianza na sifa na mapambio kwa Mama ndo kabisa!! Subiri Chawa wa mama waje watafsiri kauli ya Tulituli uone kama ina madhara au ndo imeimarisha demokrasia. Jana nimesikia aliposema "Nyooka naye" alimaanisha bishana naye kwa hoja.
Bahati nzuri mwenyewe kamtumaKauli ya Tulia inafifisha juhudi za Mama kujenga Demokrasia nchini
Ndugai mnafiki kuliko wanafiki woteUpi uhatari wa kauli ya Ndugai?
Je!
Kwako kutoa tahadhali ya mikopo ni hatari?
Afadhali kauli ya mstaafu spika ye alitahdgarisha kwa manfaa ya nchi.kuliko spika huyu.Kaleta uchama na chuki.Wanabodi habari!
Naenda kwenye mada yangu moja kwa moja!
NDUGAI yeye alitahadharisha umma au watawala juu ya madhara ya Serikali kukopa fedha toka taasisi mbalimbali Duniani.
Kwamba tukiendelea kwa spidi ile basi huenda nchi ikaja kuuzwa baada ya kushindwa kulipa,baada ya kujitumbukiza kwenye mlolongo wa mikopo bila tahadhali,huku tukifurahia mikopo hiyo kwa sasa!
Ilikuwa ni Angalizo zuri na lenye Point kabisaa.
Lakini kwa sababu ya siasa za ajabu za nchi hii....visasi,vinyongo na kukomoana.
Wale waliokuwa na chuki binafsi na Ndugai walifanya yao na hatimae Ndugai akaonekana mbaya wa Taifa.
Leo imekuwa zamu ya Tulia Akson mrithi wa kiti cha uspika wa bunge la JMT.
Kuna clip imetoka inayomuonyesha akiwahamasisha vijana wa UVCCM kwamba wale sahani moja ( sijui kwa namna ipi au mbinu zipi).
Kwamba wale wote wanaomsema vibaya Mama Samia Rais wa JMT.
Haijulikani ni wanaomsema vibaya Rais wa nchi ni wapi? na maneno yapi?
ndio mabaya na yapi ndio mazuri kwake.
Pia haijulikani yeye Tulia anawataka wale nao sahani moja kwa mtindo gani?
My Take:
Kama Ndugai aliwajibishwa na Rais kwa kulazimishwa kujiuzuLu Kwa kutoa tahadhari kwa nchi dhidi ya mikopo isiyo na muelekeo sahihi.
Je, Tulia ambae anahamasisha uvunjifu wa Amani baina ya watanzania.
Kwamba yeyote anayemkosoa Rais wa nchi,awe CCM au Upinzani.jambo linaloweza kusababisha uvunjifu wa Amani na umwagikaji damu.
Yeye atafanywa nini?
Ni ipi kauli hatarishi kati ya "Tutauzwa wote" na hii ya "kuleni nao sahani moja"
Huu ni mtihani mwingine kwa CCM pamoja na mwenyekiti wao,wajitafakari na kuchukua hatua stahiki kama ilivyokuwa kwa Ndugai.
Ili jamii iweze kuwaamini,vinginevyo tutaamini kulikuwa na mpango rasmi wa kundi ndani ya CCM lilipanga kumfurusha Ndugai na kumuweka Tulia kwa maslahi yao binafsi na kwa kuwaza uraisi wa 2025 zaidi.
sikia mkuu hii nchi ina wananchi takriban Million 50... na ambao hawajaelmika n weng zaidi unapotoa kauli km ile mbele ya watu tena bila maelez basi tegemea mrejesho wa maon tofaut tofautiUpi uhatari wa kauli ya Ndugai?