Mhhhh! Braza kaka ana insecurity problem, pengine sababu ya urembo wako anaogopa kunyang'anywa tonge mdomoni help him build his self esteem ndio muarubaini, niliwahi kuwa katika mahusiano na kadada fulani kalinitoa jasho ilifikia hatua nikimpigia simu ikawa busy mapigo ya moyo yanabadilika, shida ni kutojiamini tu
Wivu ni mbolea ya mapenzi, lkn ukizidi sana inakuwa kero, pia wivu auna tajiri wala mlala hoi, wivu ni moja ya nguzo ya mahaba, kama kweli huna wivu, umpendi mwenzio.