1.Punguza kumuonesha unampenda:
Hata mtoto mdogo anakua na wivu na mama ake ila kadri anavyokua na kuona kuna wengine wanazaliwa baada yake anaona mapenzi ya mama kama yamehamia kwa mdogo wake, basi hapo wivu unapungua.
2.Mzalie mtoto:
Zaa mtoto na ji keep busy na mwana kuliko yeye, hapa ni kama una apply rule 1, ukimpenda mtoto sana na kumnyima yeye airtime atazoea miaka 2 au 3 atakuwa hana wivu kabisa.