Ipi ni bora kati ya Galaxy S6Edge+ na i Phone S6 Plain

Ipi ni bora kati ya Galaxy S6Edge+ na i Phone S6 Plain

Hata hiyo samsung sidhani kama inaruhusu update. Maana samsung huwa wanatoa chance ya ku update mara mbili tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Updates ya Android zpo tu ni wewe tu kujiongeza na zinakaa njoo kwa Ios sasa kila ktu ni mwendo wa Restrictions ata kudownload MP3 tu huwez na Update kwa iyo iphne ya mleta mada haipokei Update
 
Mkuu kwa hiyo pesa kwanini usichukue simu mpya ukaachana na hizo za zamani??
Kama msimamo wako ni huo, mimi ningechukua samsung (kwa sifa zake) sema nayo hizo pembe za screen (edge) ni shida nyingne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulimaanisha iPhone 6s ni nzuri chukua inapata update kama kawaida.
Lakini kama ulimaanisha IPhone 6 hiyo achana nayo haipati tena update.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sio kweli


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa iyo hera unapata Samsung galaxy a20 iko poa sana ina rom 32gb ram 3gb betri 4000mah, fast changing, camera sio mbaya wala sio nzuri, kio safii ni super amoled hd, sio media tech, ni laini 2 ni 4g laini zote 2 yaani kiufupi iko poa sana kwa sasa ukiwa na 32ok unapata mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji hii
 
Back
Top Bottom