Ipi ni betri bora?

Ok9

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
4,542
4,117
Habari..
Nahitaji kuchajisha simu kwa kutumia betri ya gari.

Ni betri gani imara ya kutumia ya solar battery, za gari zinazotumia maji... Na za gari zisizotumia maji.
NB: nitatumia katika form ya ac sio dc
 
Back
Top Bottom