Hii ndio legacy ya mwendazake na wajinga wenzio huko mataga,tumempa 15 tena ashindwe yeye tuLazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?
Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?
Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
Huna akili bwege mkubwa.Hii ndio legacy ya mwendazake na wajinga wenzio huko mataga,tumempa 15 tena ashindwe yeye tuView attachment 1753915
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?
Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?
Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
JF inataka kuvumilianaHuna akili bwege mkubwa.
Legacy ya MBOWE wanaijua mabosi wako waliompora pesa zake, kuharibu green house zake, kuvunja jengo lake la kitega uchumi, kufungia gazeti lake na kumfungabila hatia.Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?
Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?
Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
Stick to the point.Yan we jamaa sjui kama kchwa chako knafanya kazi vzuri.
Kila sku unaleta uzi humu lakn naonaga ni propaganda tu.
Lete uzi hapa tujadili majiz ya taifa hli yako chama gani.
Lete uzi hapa tujadili nani alifilis mashrka ya umma, nani aliua viwanda, nani alsema fedha za escrow si za umma na watu wakazgawana, je amekamatwa au bdo?
Mjinga mmoja wewe.
Makosa yako ni kutomaliza hata la saba. Kwa hiyo ujinga ulionao ni kama debe la chawa
Hajadhulumiwa, alilipishwa kodi. Usishuhudie uongo. Hapa hakuna ulichonena cha maana.Mwanasiasa aliyezulumiwa kila kitu na Ibilisi lakini akagoma kumpigia Magoti na kusujudu, hii legacy itabaki daima, Ibilisi kaja sasa kaenda zake, Mbowe bado yupo.
Nenda kwenye bible ukamsome Ayubu, utaelewa zaidi jinsi Ibilisi alivyo mbaya.
Swali Jepesi Toa JibuUkishashiba ugali wa shemeji yako unakuja kuharisha mitandaoni sio