Ipi ngoma kali kati ya hizi mbili

Ipi ngoma kali kati ya hizi mbili

xavihernandezalcantara

Senior Member
Joined
Nov 17, 2020
Posts
124
Reaction score
132
Hello guys mambo vp? Poleni na majukumu.


Ipi ngoma kali kati ya hizi mbili.


Enrique Iglesias__Bailando(English Version) VS Luis Fonsi ft Daddy Yanke__Despacito.
images (4).jpeg
 
Bailando ni ngoma kali sana nilikuwa nashangaa hiyo Despasito ume hit kiasi kile wakati ni yakawaida sana.
 
Back
Top Bottom