Ipi inasema ukweli?

Kwa haraka haraka kabla ya kupiga mahesabu kichwani ,unatakiwa kuamini scientific calculator.

Its only made for only one specific function. That's to calculate.
 
MAGAZIJUTO, Hiyo CASIO ni ya ukweli mkuu
 
Utata huo...wataalam wa electronics na mahesabu watusaidie
 
Hiyo smati ni ya kichina hivyo majibu yatakuja kichinachina tu
 
Kweli ugonjwa wa taifa!!!
 
Kwa haraka haraka kabla ya kupiga mahesabu kichwani ,unatakiwa kuamini scientific calculator.

Its only made for only one specific function. That's to calculate.
jibu ni tisa.

scientific calculator hiyo

na wale wazee wa magazi juto... wawe waangalifu
 
Mkuu unashindwa hata kutumia kichwa tu. Huu hauwezi kuwa ugonjwa hata siku moja.
ulivyotumia kichwa umepata ngapi?
weka kanuni na njia hapa ili tuone ukweli wa ukisemacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…