Ipi inalipa kati ya Reustarant na M Pesa?

Bora Mimi Kichwa changu Kikubwa kimejaa Makamasi ila Wewe ' Mbichwa ' wako huo Mkubwa kama Kende / Pumbu za Kifaru umejaa tu ' Makohozi ' tupu.

Hatari sana, hadi kifaru tena!! Teh teh, unapenda sifa sana mkuu.
 
Wadau,

Naomba kwa wale wenye uzoefu wanipe uzoefu wao nina millioni nane nataka kuanzisha kimoja wapo ya vitu vitatu Restaurant, M Pesa. Na duka la rejareja, ikiwezekana viduka vya rejareja viwili kila kiduka kichukue milioni nne.

Ushauri wenu tafadhali
Mkuu biashara ulizosuggest ni kutafutia hela ya mboga ebu sema mkoa uliopo tukupe biashara za kutokea badae uche na kazi uwe mwajiri sio mwajiriwa. Suala la risk hakuna biashara isiyo na risk mzee kuna watu wanafungua mighahawa lakini inakufa pia so every business has it's own risk ndio maana makampuni yaanajiri ma risk managers So ebu taja mkoa uliopo tuone kama tunaweza tuka come up na more best ideas ili 2019 upige pesa mkuu
 
But note this, LOCATION ndio kila kitu kwenye biashara so kabla hujafikiria mambo ya risk kwanza angalia location unayotaka kufungua biashara yako biashara gani ukifungua itapata wateja wengi
 
Fungua mgahawa lakini uhakikishe vigezo na masharti vinazingatiwa. Pia ukumbuke usafi, bei ambayo wenyeji wa eneo hilo wata afford, vyakula vyenye ladha, nakushauri uweke vyakula vya mchemsho usiweke mafuta maana wateja wengi siku hizi hawahusudu kula mafuta mengi, ukarimu, unadhifu wa wahudumu, eneo la jikoni liwe safi muda wote. Mwisho jitahidi uwe wa kwanza kufungua biashara yako asubuhi sana na uwe wa mwisho kufunga usiku
Ukumbuke na mambo ya faragha (siri) za wateja wako, sio mtu kapita hapo na mke au mume wa mtu kamnunulia ki juice halafu mnamtangaza!!!

Mgahawa is the best ...kutegemea na location na huduma utakavyoitoa......lakini zingatia kuna kodi,siyyo chini ya laki2 watu wa fya, TRA nk
 
Fungua mgahawa lakini uhakikishe vigezo na masharti vinazingatiwa. Pia ukumbuke usafi, bei ambayo wenyeji wa eneo hilo wata afford, vyakula vyenye ladha, nakushauri uweke vyakula vya mchemsho usiweke mafuta maana wateja wengi siku hizi hawahusudu kula mafuta mengi, ukarimu, unadhifu wa wahudumu, eneo la jikoni liwe safi muda wote. Mwisho jitahidi uwe wa kwanza kufungua biashara yako asubuhi sana na uwe wa mwisho kufunga usiku
Ukumbuke na mambo ya faragha (siri) za wateja wako, sio mtu kapita hapo na mke au mume wa mtu kamnunulia ki juice halafu mnamtangaza!!!
We kwenda tu
 
Cha msingi ni kuwa umepata Location gani na una uzoefu wa biashara gani? Biashara ni imani kama ilivyo dini. Huwa mtu akiamini biashara moja zingine hafikirii kama na zenyewe ni profitable.

Ningekushauri ufanye kile ambacho una uelewa na uwezo wa kufanya. Biashara zote hizo mchawi ni location tu na vyote waweza fanya kwa pamoja. Achana na hawa washauri wa mitandaoni tafuta watu physically waliofanikiwa kwa hizo biashara wakupe changamoto na namna ya kuendelea.
 
Mpaka hapo utakuwa ushajua nn cha kufanya cheza na mazingira tuu sasa.
Ungekuwa huku mgodini ungenunua mtungi wa kusaga mawe kwa miez 6 hukosi mil 10 hadi 20 kutegemeana ba bidii yako
Mgodini wapi na huo Mtungi unuzwaje?
 
Biashara zote hizo ni nzuri sana na zina faida sana tu ila kinachohitajika ni location nzuri na uwezo wa kukabiliana na changamoto. Kingine labda nikupe nyongeza ,, biashara nyingne inayolipa vzr kbs ni biashara ya vinywaji vya jumla (pombe, soda, maji etc)
Mkuu heshima yako, unadhani biashara hii itahitaji mtraji kiasi gani?
 
Back
Top Bottom